USHAURI: Je, ananipenda au ndiyo jinsi alivyo?

Simple,

Mwambie akununulie kitabu kimojawapo kati ya hivi Bible(kama wewe mkristo) au msaafu(kama wewe ni Muislamu) | Na utakitunza vyema hicho kitabu na kila ukionapo/ ukitumiapo basi utakuwa ukimkumbuka vyema.

Nje ya hapo hakuna zawadi ya maana atakayokupatia.

Nilipewa Biblia Kwenye kipaimara changu miaka hiyo

Hata sijui iko wapi.

#YNWA
 
Habari zenu wadau,

kuna dada mmoja tunafanya nae kazi ofisi X. Huyu dada ni mshikaji wangu since day one maana tulianza kazi siku moja na siku ya interview tulikua wote sema tulikua hatujazingatiana sana.

Sasa kipindi naanza kazi siku ya kwanza Paa hyu hapa tukatambulishwa pale maana ndo tulikua wageni kwa hyo sisi ndo tukawa marafiki.

Sasa tukawa marafiki tumeshazoena sana na aakajua nguo ninazopenda na vitu ninavyopenda mwaka jana mwezi wa 6 ilikua ni happy birthday yangu daah hauwezi amini akanipigia akaniambi i have suprise for you nikamuambia really? akasema yeah nikawamua ok naisubiri akaniambia poa.

Daah kesho kaja kazini mida ya kama saa 4 hivi nikaletewa cake ofisini daaah akaniapa na mfuko akaniambi huu utaufungua bade aisee nilifrahi saana tukakata cake tukawa tunawalisha wafanyakazi wenzetu wa ofisini.

Nikatoka job nina kimuhe muhe cha kufungua zawadi ile nimefika tuu home daaah huwezi amini huyu dada alikua amenununulia samsung galax note 8 jezi ya chelsea na yanga daaah niliishiwa pozi nikamshukuru sana.

Mwisho wa mwaka huu walivunja vikoba akanitumia laki moja akaniambia my friend ya kwako hyo, sasa kapata kazi mpya na mshahara umenonan zaidi akaniambia nichague zawadi ninayoitaka aninunulie ili akiondoka nisiweze kumsahau hapa ndo nawaza zawadi gani? sijawahi kumtongoza sijawahi mwambia habari za mapenzi yaani nashindwa tuu kuelewa naogopa nikimtongoza urafiki wetu utavunjika.

Ila niliishi naye vizuri saana.
Bro mwonbe akununulie bible ya king James version

Ila usiombe (penzi,ngono, mahusiano) utanishukuru baadae
 
I love ma best and i don't know what to do[emoji23]
 
Nina wasiwasi na elimu yako[emoji23]
 
WASUKUMA tumeingiaje hapo mkuu trudie ?[emoji1]
Nilipanda daladala Mwanza, baba msukuma yupo na watoto wake akapiga simu kwa rafiki yake anamwambia " nipo njiani nawapeleka anko zako kwenye happy birthday ya rafiki yao".

Basi sijui ni sifa alitaka akawa anawaambia wanae "leo mtafurahi sana kwenye happy birthday wanangu".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wadau,

kuna dada mmoja tunafanya nae kazi ofisi X. Huyu dada ni mshikaji wangu since day one maana tulianza kazi siku moja na siku ya interview tulikua wote sema tulikua hatujazingatiana sana.

Sasa kipindi naanza kazi siku ya kwanza Paa hyu hapa tukatambulishwa pale maana ndo tulikua wageni kwa hyo sisi ndo tukawa marafiki.

Sasa tukawa marafiki tumeshazoena sana na aakajua nguo ninazopenda na vitu ninavyopenda mwaka jana mwezi wa 6 ilikua ni happy birthday yangu daah hauwezi amini akanipigia akaniambi i have suprise for you nikamuambia really? akasema yeah nikawamua ok naisubiri akaniambia poa.

Daah kesho kaja kazini mida ya kama saa 4 hivi nikaletewa cake ofisini daaah akaniapa na mfuko akaniambi huu utaufungua bade aisee nilifrahi saana tukakata cake tukawa tunawalisha wafanyakazi wenzetu wa ofisini.

Nikatoka job nina kimuhe muhe cha kufungua zawadi ile nimefika tuu home daaah huwezi amini huyu dada alikua amenununulia samsung galax note 8 jezi ya chelsea na yanga daaah niliishiwa pozi nikamshukuru sana.

Mwisho wa mwaka huu walivunja vikoba akanitumia laki moja akaniambia my friend ya kwako hyo, sasa kapata kazi mpya na mshahara umenonan zaidi akaniambia nichague zawadi ninayoitaka aninunulie ili akiondoka nisiweze kumsahau hapa ndo nawaza zawadi gani? sijawahi kumtongoza sijawahi mwambia habari za mapenzi yaani nashindwa tuu kuelewa naogopa nikimtongoza urafiki wetu utavunjika.

Ila niliishi naye vizuri saana.
Asee we kijana mbona ubongo mzito hvyo
Legeza fuvu hilo ule mema ya Nchi
 
Back
Top Bottom