USHAURI: Je, ananipenda au ndiyo jinsi alivyo?

USHAURI: Je, ananipenda au ndiyo jinsi alivyo?

Nilipanda daladala Mwanza, baba msukuma yupo na watoto wake akapiga simu kwa rafiki yake anamwambia " nipo njiani nawapeleka anko zako kwenye happy birthday ya rafiki yao".

Basi sijui ni sifa alitaka akawa anawaambia wanae "leo mtafurahi sana kwenye happy birthday wanangu".

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha!! Alitakiwa kuongeaje?
 
Waswahili daima husema bure ni ghali. Sasa akili mukichwa, kama ni story ya kweli japo ina ukakasi kuiamini basi juwa unaandaliwa kisaikolojia. Utapigwa kizinga kimoja cha haja unaweza jikuta unawekea rehani mpaka nyumba ya urithi.

Ila bado siamini kuwahii hiki ni kisa cha kweli. Wabongo wanavyopenda dezo, ingekuwa kweli ungeogopa hata kuomba ushauri kwa hofu msesereko wako utaibiwa.
mkuu hii story ni ya kweli kabisa sijatunga
 
My wangu ndio alikua na tabia kama hizi, alikua akiona picha za nguo instagram basi screenshot na pesa vitafuatana nikanunue hivyo vitu.
Sema vitu Vizuri havidumu...!
But I really experienced and enjoyed peak unconditional love❤️
 
Kama ni rafiki acha aendelee kua rafiki tu.

Akiwa mpenzi wako hataweza kukusaidia chochote coz atakua anakupa mbususu. Na hapo wewe ndio utatakiwa kumhudumia sasa.

Kwa mtu kama huyo urafiki wenu ni bora zaidi kuliko kua wapenzi labda kama pepo la ngono juu yake limekuvaa.
Ila trust me utakumbuka jinsi unavyoenjoy sasa hivi juu yake kama ukimtongoza.
 
Nenda nae polepole, achana na mambo ya kupendwa kisa zawadi,….kama unampenda kwa kuwa nae kihalali sawa ila kama unataka kupita tuu, nenda nae kwa upepo huo huo kuna siku utapita ki masihala
 
Habari zenu wadau,

kuna dada mmoja tunafanya nae kazi ofisi X. Huyu dada ni mshikaji wangu since day one maana tulianza kazi siku moja na siku ya interview tulikua wote sema tulikua hatujazingatiana sana.

Sasa kipindi naanza kazi siku ya kwanza Paa hyu hapa tukatambulishwa pale maana ndo tulikua wageni kwa hyo sisi ndo tukawa marafiki.

Sasa tukawa marafiki tumeshazoena sana na aakajua nguo ninazopenda na vitu ninavyopenda mwaka jana mwezi wa 6 ilikua ni happy birthday yangu daah hauwezi amini akanipigia akaniambi i have suprise for you nikamuambia really? akasema yeah nikawamua ok naisubiri akaniambia poa.

Daah kesho kaja kazini mida ya kama saa 4 hivi nikaletewa cake ofisini daaah akaniapa na mfuko akaniambi huu utaufungua bade aisee nilifrahi saana tukakata cake tukawa tunawalisha wafanyakazi wenzetu wa ofisini.

Nikatoka job nina kimuhe muhe cha kufungua zawadi ile nimefika tuu home daaah huwezi amini huyu dada alikua amenununulia samsung galax note 8 jezi ya chelsea na yanga daaah niliishiwa pozi nikamshukuru sana.

Mwisho wa mwaka huu walivunja vikoba akanitumia laki moja akaniambia my friend ya kwako hyo, sasa kapata kazi mpya na mshahara umenonan zaidi akaniambia nichague zawadi ninayoitaka aninunulie ili akiondoka nisiweze kumsahau hapa ndo nawaza zawadi gani? sijawahi kumtongoza sijawahi mwambia habari za mapenzi yaani nashindwa tuu kuelewa naogopa nikimtongoza urafiki wetu utavunjika.

Ila niliishi naye vizuri saana
Umeshawai mpa zawadi gani?
 
My wangu ndio alikua na tabia kama hizi, alikua akiona picha za nguo instagram basi screenshot na pesa vitafuatana nikanunue hivyo vitu.
Sema vitu Vizuri havidumu...!
But I really experienced and enjoyed peak unconditional love❤️
Pole mkuu! Mlitengana au alifariki?
 
Nafasi ya mwisho hiyo, ukiichezea anakuona fisi maji.
 
Back
Top Bottom