USHAURI: Je, ananipenda au ndiyo jinsi alivyo?

Haha!! Alitakiwa kuongeaje?
 
mkuu hii story ni ya kweli kabisa sijatunga
 
My wangu ndio alikua na tabia kama hizi, alikua akiona picha za nguo instagram basi screenshot na pesa vitafuatana nikanunue hivyo vitu.
Sema vitu Vizuri havidumu...!
But I really experienced and enjoyed peak unconditional love❤️
 
Kama ni rafiki acha aendelee kua rafiki tu.

Akiwa mpenzi wako hataweza kukusaidia chochote coz atakua anakupa mbususu. Na hapo wewe ndio utatakiwa kumhudumia sasa.

Kwa mtu kama huyo urafiki wenu ni bora zaidi kuliko kua wapenzi labda kama pepo la ngono juu yake limekuvaa.
Ila trust me utakumbuka jinsi unavyoenjoy sasa hivi juu yake kama ukimtongoza.
 
Nenda nae polepole, achana na mambo ya kupendwa kisa zawadi,….kama unampenda kwa kuwa nae kihalali sawa ila kama unataka kupita tuu, nenda nae kwa upepo huo huo kuna siku utapita ki masihala
 
Umeshawai mpa zawadi gani?
 
My wangu ndio alikua na tabia kama hizi, alikua akiona picha za nguo instagram basi screenshot na pesa vitafuatana nikanunue hivyo vitu.
Sema vitu Vizuri havidumu...!
But I really experienced and enjoyed peak unconditional love❤️
Pole mkuu! Mlitengana au alifariki?
 
Nafasi ya mwisho hiyo, ukiichezea anakuona fisi maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…