USHAURI: Je, ananipenda au ndiyo jinsi alivyo?

Ni kweli ukimwambia Tu urafiki unakufa na rasmi unakua upenzi yaani urafik siku moja Tu unakufa. Good
 
We jamaa ni vipi

Hivyo vitabu haina haja y kununua anaingia Appstore au Playstore anadownloqd for free

Al muhimu amwambie zawadi anayoitaka ni binti mwenyewe
Wew vipi wewe
 
Kwanza hongera japo umeandika kwa furaha kupitiliza,zawadi ya msingi tafuta kiwanja kizuri cha kujenga na hapo hutamsahau kamwe,utakuwa ukikiangalia unawaambia wajukuu hiki nilihongwa na mrembo "X".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…