Ushauri je kwa kwa matokeo aya anaweza kusoma kozi gani nzuri

Ushauri je kwa kwa matokeo aya anaweza kusoma kozi gani nzuri

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Wadau naomba ushauri huyu mjukuu wangu he kwa matokeo aya anaweza kwenda kusoma kozi gani au chuo gani
General study E
History E
Geography E
English D
Ana dv 3 ya 14
 
Huyo akosome diploma ya uhasibu, sheria, hr, business administration, land management, valuation and registration(Chuo cha Ardhi Tabora)
 
Wadau naomba ushauri huyu mjukuu wangu he kwa matokeo aya anaweza kwenda kusoma kozi gani au chuo gani
General study E
History E
Geography E
English D
Ana dv 3 ya 14
Aangalie diploma ama aende education
 
Kwan waalimu wote wana degree ualimu uko ngazi nyingi kiongozi
Ata kama Ataenda Diploma, Kwa Ufaulu huo hawezi Ku toa product nzuri, huenda yeye amefeli kwa kuwa alifundisha na walimu waliofeli, sasa kwa nini tuendelee kuporomosha elimu
 
Ata kama Ataenda Diploma, Kwa Ufaulu huo hawezi Ku toa product nzuri, huenda yeye amefeli kwa kuwa alifundisha na walimu waliofeli, sasa kwa nini tuendelee kuporomosha elimu
Facts div 3.14 haina soko aje kitaa tulime matikiti ,si unavotaka
 
Back
Top Bottom