USHAURI: Je, naweza kupata gari kwa shilingi milioni 6?

USHAURI: Je, naweza kupata gari kwa shilingi milioni 6?

Acha kumdanganya mwenzako. yeye kakwambia ana 6m
wewe unamshawishi akaongeze atazipata wapi kwa usawa huu?
muokotamatunda wewe ingia www.zoomtanzania.com huko kuna gari kibao na za bei yako uitakayo
hata za 5m km wasemavyo Member wengine
na uzuri wa huko unaongea na mwenye gari kabisa, hata km kuna Dalali hapo kati mwambie namtaka mwenye mali
 
b72fa12ce41bdd1c06fce38ff77d32ebbca77e5a.jpeg
milioni 6,500,000/ simu 0687575770, 0656974983
44fbd0c4abea6ef86f9a879bd38e4b9753d52f85.jpeg

https://www.zoomtanzania.com/hatchbacks/2002-toyota-ist-1110542?s=fb3681b56959eea32dc7794c699db58d
 
Ndugu zangu nawasalimu humu,kama mada inavyo jieleza hapo juu, nikweli kiasi cha hiyo pesa naweza pata ka ndiga kakuzugia au nijazie kidogo, aina ya gari ni Toyota run x/allex,ist,raum na spacio .asanteni ndugu zangu, kikubwa naomba msaada wa mawazo na uzoefu wenu.
Tulia hapo hapo ntarudi kama nikipata suluhisho...
=======================================================
Mkuu, nimejaribu kuangalia magari ya Toyota, Japan naona kwa hela yako hii itakufaa kama utaipenda.
Kuliko kununua chuma chakavu mkononi kwa mtu, ni bora uagize hii gari.
https://www.beforward.jp/toyota/bb/bf873174/id/1006028/
Kama hujui jinsi ya kuagiza, niulize nitakuelekeza. NB: Mbali na gharama za ku clear gari bandarini, usimpe mtu pesa mkononi. Kama unanunua Befoward, pesa utawatumia Japan kwa akaunti ya benki watakayokupa. Pesa ya kulipa ushuru TRA, agenti atakupa copy ukafanye malipo mwenyewe benki.
Kila ka kheri.
 
Uko serious unavitaka hivo vigari ? Nakushauri bora uingie insta au mtafute yule jamaa wa humu jf utapata gari nzuri kama marx x.tezza nk kwa bei hyo au uongeze m2 hvi kuliko kuendesha toyota ist mkuu
 
Uko serious unavitaka hivo vigari ? Nakushauri bora uingie insta au mtafute yule jamaa wa humu jf utapata gari nzuri kama marx x.tezza nk kwa bei hyo au uongeze m2 hvi kuliko kuendesha toyota ist mkuu
Anatumia jina gani
 
Back
Top Bottom