Hii Gari haijalipiwa chochoteMkuu hebu toa details za kutosha za hii gari
Ina 2.0 engine capacity na ni mpya inauzwa kwa mnada bandarini mpk wiki iliopita ilikua haijanunuliwa.Mkuu hebu toa details za kutosha za hii gari
Imeshalipiwa kodi au badoNunua hii Honda ipo bandarini kwa 5.5m tuView attachment 829685View attachment 829687
Ukilipa hiyo kodi ya serikali hudaiwi tena... utalipia plate number tu na insuranceImeshalipiwa kodi au bado
Hutadaiwa tena pesa ukilipa hiyo 5.5m maana ndio kodi ya serikali.. hakutakuwa na malipo mengineUkilipa hiyo kodi ya serikali hudaiwi tena... utalipia plate number tu na insurance
Nimekusoma mkuuHutadaiwa tena pesa ukilipa hiyo 5.5m maana ndio kodi ya serikali.. hakutakuwa na malipo mengine
Mileage sio ishu ukizifuata utapotea watu wanazishusha hizo!!!Ata 5M unapata tena chini ya 100,000km.....
Inaonekana imetuliamilioni 6,500,000/ simu 0687575770, 0656974983
https://www.zoomtanzania.com/hatchbacks/2002-toyota-ist-1110542?s=fb3681b56959eea32dc7794c699db58d
Tulia hapo hapo ntarudi kama nikipata suluhisho...Ndugu zangu nawasalimu humu,kama mada inavyo jieleza hapo juu, nikweli kiasi cha hiyo pesa naweza pata ka ndiga kakuzugia au nijazie kidogo, aina ya gari ni Toyota run x/allex,ist,raum na spacio .asanteni ndugu zangu, kikubwa naomba msaada wa mawazo na uzoefu wenu.
Anatumia jina ganiUko serious unavitaka hivo vigari ? Nakushauri bora uingie insta au mtafute yule jamaa wa humu jf utapata gari nzuri kama marx x.tezza nk kwa bei hyo au uongeze m2 hvi kuliko kuendesha toyota ist mkuu
Nádhàni @masterofthegameAnatumia jina gani
Wapo wengi hatariNádhàni @masterofthegame