Ushauri: Jiondoe hapa JF Sports kama timu yako haipo kimataifa

Naskia yule mfungaji role model wake ni Mayele
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kutolewa haimaanishi kuwa simba sio timu kubwa au yanga wameipita ukubwa bado sana mnacha kujifunza kwa simba jana waarabu walikuwa wanalia walichanganyikiwa..
Yaani wajifunze kutolewa kila wanapofika robo fainali? Waarabu walipolia mkatinga nusu fainali? Kuna fyuzi imekatika vichwani mwenu mashabiki wa Ngada fc sio bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…