Ile nyama hailali hivyo haina haja kuogopa wala nin ila chunga yafuatayo kwenye ufugaji wako:
1.usiwe mzembe kuwahudumia chakula na dawa na usafi maana hawa wanyama rahisi sana kudumaa kama utakuwa mzembe
2.chuki kutoka kwa ndugu zetu wana uamsho nafikili unatambua Total loss concep(kuwekewa sumu)
3.hakikisha chakula chao kinapatikana karibu tena kwa bei poa nasema hivi ili uepuke gharama maana vyakula vyao vimepanda sana
Jamani wadau naomba kwa mtu yeyote hasa wa maeneo ya Mbeya, Iringa na Singida anipe details kuhusu upatikanaji wa Kitimoto, nataka nianze biashara yakununua kitimoto nakuwasafirisha Dar es salaam.
Nenda jukwa la uchumi mada za aina hii zimefafanuliwa vizuri sana.Habari ya asubuhi wanajamvi
Katika harakati zangu za kuongeza kipato hasa kwa kuzingatia ug
umu wa maisha ulivyo hivi sasa, nimevutiwa na biashara ya kufuga kitimoto kwa ajili ya kuuza ambayo nasikia inalipa sana.
Nimeandaa shamba tayari maeneo ya Kongowe lakini sina uhakika juu ya gharama halisi ya kuwakuza wanyama hao hadi kufikia maturity.
Naomba ushauri wenu juu ya hili. Nitaappreciate kama nitapata mchanganuo kuanzia vyakula madawa na gharama za kuwaingiza sokoni
Napenda kuanza na nguruwe kumi wa majaribio.
Msaada wenu please!
Bg up kwa mawzo kama hayo,ktkk kipindi cha kujikwamua na lindi la ufukara. Cyo mtaalamu saana bt kutokana na uzoefu i can say sth. Cha kwanza jipange ishu ya chakula cozi ndo tatzo(Mashudu na pumba ya mahindi mara chache ya mpunga kama unaweza waweza changanya.)dawa ya minyoo na sindano za vitamini ni mahitaji madogo ambayo yako affordable afu yana interval not oftenly. Jiami ishu ya vyakula first baada ya miezi 6 unaweza ukaanza kupata wazo la kupata Out put. Maturity inategemea na wewe unataka yakue kivip. Madume kwa biashara yanakuwa faster
mmmhhmmm!! kazi kweli kweli hii pesa jamani!!
Kilo moja ya kitimoto ni rejareja ni sh. 10000 bado ndizi 500 na kanjumbari 1000 na bei ya jumla wanakochinjia nguruwe ni sh 5500-6500 kws hiyo nguruwe is the best buzinezz!!