Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Hivi wakuu mliopo maeneo ya DSM na mlio wazoefu wa biashara ya Kitimoto bei zake zipoje kwa viti moto vya kutoka Mikoani???.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaji huu hapaWadau kuna hili wazo la biashara ya kununua nguruwe huko Morogoro kuchinja na kuleta hapa Dar, ofcourse itahitaji uwe na order kwenye vituo vya kuuzia nyama ya nguruwe, kwenye mabaa na watu binafsi.
Unanunua nguruwe wa 100 kg kwa TZS 300,000/- unachinja na kuondoka na nyama fasta hadi Dar unaanza kusupply. Unaweza beba wawili hadi wanne kutokana na usafiri unaotumia na maandalizi uliyoweka.
Kama wapo wadai ambao wanaielewa hii biashara mazuri na mabaya mnijuze tafadhali.
Samahani wa wadau ambao hii ni haramu kwao.
Natanguliza shukrani.
Nilisha fanya Hii Kitu na jamaa yangu,Uzuri Sisi soko tulikuwa nalo tayari japo halikuwa Kubwa sana.Changamoto kubwa ilikuwa upatikanaji wa hao nguruwe huko morogoro.
Inabidi uzunguke maeneo mengi Mengi ili kupata na kuna Wakati inabidi usubiri muda kidogo mpaka wapatikane Kwahiyo unakuwa huna constant supply kwa Wateja wako
Kwahiyo kikubwa ni soko la uhakika lakini zaidi ni upatikanaji wa hao nguruwe kwa wakati
Kila la kheri
Hongera mkuunguruwe wanalipa sana mkuu.mm nimejenga mabanda kijijin kwetu njombe kama eneo la hekali moja hv.niliona jinsi jamaa yangu anavyooingza pesa kwa biashara ya nguruwe.ushauri wangu kwako unapoanza kufuga nguruwe hakikisha chakula mda wote kinapatikana na pia chagua nguruwe ambao wanzaa watoto weng yaan mbegu nzur.mm Nina nguruwe ambaye anzaa watoto hadi 15..huku mbeya nguruwe ukimtunza sana ndani ya miez 9 ukosi kumuuza lak 450000_50000
Mkuu naweza pata mawasilianao yako? Niwafuga ila hii mbegu yako sina naihitajinguruwe wanalipa sana mkuu.mm nimejenga mabanda kijijin kwetu njombe kama eneo la hekali moja hv.niliona jinsi jamaa yangu anavyooingza pesa kwa biashara ya nguruwe.ushauri wangu kwako unapoanza kufuga nguruwe hakikisha chakula mda wote kinapatikana na pia chagua nguruwe ambao wanzaa watoto weng yaan mbegu nzur.mm Nina nguruwe ambaye anzaa watoto hadi 15..huku mbeya nguruwe ukimtunza sana ndani ya miez 9 ukosi kumuuza lak 450000_50000
mbona tofauti ya bei kubwa sana? Yaani laki nne na nusu hadi elfu hamsininguruwe wanalipa sana mkuu.mm nimejenga mabanda kijijin kwetu njombe kama eneo la hekali moja hv.niliona jinsi jamaa yangu anavyooingza pesa kwa biashara ya nguruwe.ushauri wangu kwako unapoanza kufuga nguruwe hakikisha chakula mda wote kinapatikana na pia chagua nguruwe ambao wanzaa watoto weng yaan mbegu nzur.mm Nina nguruwe ambaye anzaa watoto hadi 15..huku mbeya nguruwe ukimtunza sana ndani ya miez 9 ukosi kumuuza lak 450000_50000
Elf hamsin watoto... Yaan hapo kaweka bei ndgo zaid na kubwa zaid... hapo katikat wapo weng tu wanauzika hapo, wapo wa lak 2, lak 80, lak 3 n. kmbona tofauti ya bei kubwa sana? Yaani laki nne na nusu hadi elfu hamsini
Hahaahaa.. Et haina tofaut na bangi kwel mkuu mijitu mingine bana kaz kubishana tu na mungu imeshaambiwa huyo mdudu haramu haisikii tu mbona kuna biashara nzur tu za halal mpaka tu mng'ang'anie tu hayo manguruwe? Din zote znakataza hayo madudu yasiliwe hamsikii tu
Wanalipa kodi au nauli?Nguruwe wanalipa sana
Duu! kuna watu ni wagumu kuelewa.Wanalipa kodi au nauli?
Acha unafki......biashara haramu hiyo haina tofauti na bange