Ushauri juu ya biashara ya kitimoto

Hivi wakuu mliopo maeneo ya DSM na mlio wazoefu wa biashara ya Kitimoto bei zake zipoje kwa viti moto vya kutoka Mikoani???.
 
Mtaji huu hapa
ParttimeDuty.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
 

Naomba uelezee pia mchanganuo wa namba.....mli invest kiasi gan na at the end mkapata kiasi gani?
 
nguruwe wanalipa sana mkuu.mm nimejenga mabanda kijijin kwetu njombe kama eneo la hekali moja hv.niliona jinsi jamaa yangu anavyooingza pesa kwa biashara ya nguruwe.ushauri wangu kwako unapoanza kufuga nguruwe hakikisha chakula mda wote kinapatikana na pia chagua nguruwe ambao wanzaa watoto weng yaan mbegu nzur.mm Nina nguruwe ambaye anzaa watoto hadi 15..huku mbeya nguruwe ukimtunza sana ndani ya miez 9 ukosi kumuuza lak 450000_50000
 
Hongera mkuu
 
Mkuu naweza pata mawasilianao yako? Niwafuga ila hii mbegu yako sina naihitaji
 
mbona tofauti ya bei kubwa sana? Yaani laki nne na nusu hadi elfu hamsini
 
Mi mwenyewe mkuu nina nguruwe nilitaka nioanur huo mrad na kufikisha Nguruwe 50 kwa mwaka huu
 
Hahaahaa.. Et haina tofaut na bangi kwel mkuu mijitu mingine bana kaz kubishana tu na mungu imeshaambiwa huyo mdudu haramu haisikii tu mbona kuna biashara nzur tu za halal mpaka tu mng'ang'anie tu hayo manguruwe? Din zote znakataza hayo madudu yasiliwe hamsikii tu
 

Wewe mwenyewe unakula kwa siri halafu udanganya wenzio wasile...dini mojo tu ndo inakataza lkn nyingine ni chochote kimuingia mtu kinywani hakimtii unajisi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…