Hahhaha. Nimependa hiyo "kwani unataka kufanya school basi." Mkuu nina watoto 2. Sasa nikiwa na watu wazima wa kubeba mbali na mke wangu naona kama itabidi nyuma wapakatane.Hapana mkuu kwani unataka kufanya school bus?
Hiyo ni 5 Seats ukiamua nyuma unatupia wanne kamasio wanene sana
Hahhaha. Nimependa hiyo "kwani unataka kufanya school basi." Mkuu nina watoto 2. Sasa nikiwa na watu wazima wa kubeba mbali na mke wangu naona kama itabidi nyuma wapakatane. Hivyo ndio maana natafuta 7 seaters ili siku nikiwa na wageni wasio na isafiri na ikalazimika kupanda wote na familia basi watoto wajirushe huko nyuma kutoa nafasi kwa seat za kati.
Asante mkuu. Lkn naziona ziko chini sana na mie napenda iwe juu kiasi kama Rav4 hivi
Okey ukitaka hivyo mkuu nunua Spacio New Model yenye CC1497 1NZ series Engine utafurahi kwenye matumizi ya mafuta mpaka space na ina nyanyuka vizuri ukiweka spenser ya 1inch.
Imean Spacio ya kuanzia mwaka 2002 kuendelea
Asante mkuu. Lkn naziona ziko chini sana na mie napenda iwe juu kiasi kama Rav4 hivi
Asante mkuu. Nikushukuru kwanza kwa kwa ushauri wako na uvumilivu wako kwa maswali yangu. Yawezekana maswali mengine yalikuwa ya level ya chini kabisa lakni hukujali. Pamoja na wengine mliochangia juu ya maswali yangu.Ukinunua Spacioa isiyokua na Feeders ukaiwekea Spensers za nchi moja inanyanyuka vizuri sana na hutopata kero ya kugusa chini....
Nimekupata mkuuNdugu yangu ford ,volvo,nissan.,isuzu .hizo gar usithubutu hata siku moja ,hasa kwa new model zinazotoka sasa hiv mafund wao wapo tyu ila bei yake ni hatar coz ni gar zinazo tumia mfumo wa umeme sana .pili spea zake hasa za nje kama taa kioo show ya mbile side miroo ni ngumu kupatkana mjin wanaita ni mimba ya tasa unazunguka mji mzma unaambiwa mpka uagize nje tabu yote ya nini si uchukue gar yoyote ila iwe kampun ya toyota kama raum , noah ,voxy .na nyingnezo
Vipo volvo xc90 za 2004 hapa mjini nazo ni shida?Ndugu yangu ford ,volvo,nissan.,isuzu .hizo gar usithubutu hata siku moja ,hasa kwa new model zinazotoka sasa hiv mafund wao wapo tyu ila bei yake ni hatar coz ni gar zinazo tumia mfumo wa umeme sana .pili spea zake hasa za nje kama taa kioo show ya mbile side miroo ni ngumu kupatkana mjin wanaita ni mimba ya tasa unazunguka mji mzma unaambiwa mpka uagize nje tabu yote ya nini si uchukue gar yoyote ila iwe kampun ya toyota kama raum , noah ,voxy .na nyingnezo
Hiyo kitu niliiona pale Mkwajuni Kinondoni, madalali wanabadilisha hizo namba nyuma ya gari. Niliona kwenye Rav4 J wakaweka L pale nyuma...Sure kluger hiyo 2.4 2AZ ni nzuri sana,na naipenda sana hiyo engine. sasa akikutana na wajuaji kama hajui anapigwa ile 1MZ ambayo ni 3.0 mbona ataita mama...
Japo sikuchangia chochote,nimeshawishika kukupongeza kwa kushukuru fadhila za waliokupa mawazo. Unaonekana ni mtu mwenye busara na uelewa wa hali ya juu.Asante mkuu. Nikushukuru kwanza kwa kwa ushauri wako na uvumilivu wako kwa maswali yangu. Yawezekana maswali mengine yalikuwa ya level ya chini kabisa lakni hukujali. Pamoja na wengine mliochangia juu ya maswali yangu...
Biashara nyingi bongo zimejaa ghushi na ulaghai. Poor watz sisi.Hiyo kitu niliiona pale Mkwajuni Kinondoni, madalali wanabadilisha hizo namba nyuma ya gari. Niliona kwenye Rav4 J wakaweka L pale nyuma...
Mwanzo sikuelewa, baadae nikaona wanatoa VW Golf 2L wakachomeka 1.6L. Tangu hapo naona siwezi kuwaamini watz wenzangu.
Bei ikoje mkuu hadi uitoe na kuingia barabarani?Chukua Volvo XC90 nigari nzurii sana chukua ile yenye CC 2500. Hutajuta ushaurii wangu kwanza imekaa poa sana na ina seatrs 7
Hiyo kitu niliiona pale Mkwajuni Kinondoni, madalali wanabadilisha hizo namba nyuma ya gari. Niliona kwenye Rav4 J wakaweka L pale nyuma...
Mwanzo sikuelewa, baadae nikaona wanatoa VW Golf 2L wakachomeka 1.6L. Tangu hapo naona siwezi kuwaamini watz wenzangu.
Bei ikoje mkuu hadi uitoe na kuingia barabarani?
Vipi iko ya size kama RAV au inaukubwa gani, kwa maana road clearance inafika angalau sawa na Rav4?
Kuhusu Ford kama uzi unavyosema chukua Escape ya mwaka 2006,2007 na 2008 yenye cc 2260,wallah hutajutia pesa yako. Kwanza haili mafuta.
All said is fineSure kluger hiyo 2.4 2AZ ni nzuri sana,na naipenda sana hiyo engine. sasa akikutana na wajuaji kama hajui anapigwa ile 1MZ ambayo ni 3.0 mbona ataita mama...
Kama una HELA na hujali maneno ya Wabongo chukua VANGUARD. utanishukuru baadae. Kama bahili nunua LiteaceNashukuru sana kwa ushauri wenu.
Je ni gari gani nzuri ambayo ni 7 seaters kwa familia. Namaanisha hizi suv size ya kati.
Asante kwa msaada ndo maana nasisitiza bongo si pa kununua gari. Madalali wasanii sanaAll said is fine
Lakini kama ni mimi I will go for RAV 4 cc 1790=1800 VVTi engine type, ninayo three years sijajutia, fuel consumption 1lt=13kilometres, Escudo iliyosemwa hapo juu cc2400 pia hata RAV4 kuna ya cc2360=2400.
Bado Rav niliyosema hapo juu consuption yake ipo china ukilinganisha na Kruger. Car type and engine type be careful. Pia kwa budget yako inatosha kuagiza direct from Japan, usichukue mkononi mwa mtu wala show room ambao uchakachuaji ni mwingi. Best wishes on your selection
Spea za VITARA hii ni majanga ndugu. Usijaribu. Bakia huko huko TOYOTAMkuu 7seaters ni gari ndogo sio za juu kama unavyomaanisha mfano Spacio New Modelunapata 7seaters
Ila kama una budget ya 25M to 30M unaweza pata hii gari Suzuki Escudo I repeat Suzuki Escudo with engine TD54W ya CC1990. Narudia tena simaanishi Suzuki Grand Vitara maana zinafanana na vitara nyingi zina engine kubwa kwahiyo utaingia matatizoni...
Mkuu nafahamu vizuri... Nashukuru kwa angalizo mkuuSpea za VITARA hii ni majanga ndugu. Usijaribu. Bakia huko huko TOYOTA