Ushauri juu ya Ford explorena escape

Ushauri juu ya Ford explorena escape

Hapana mkuu kwani unataka kufanya school bus?

Hiyo ni 5 Seats ukiamua nyuma unatupia wanne kamasio wanene sana
Hahhaha. Nimependa hiyo "kwani unataka kufanya school basi." Mkuu nina watoto 2. Sasa nikiwa na watu wazima wa kubeba mbali na mke wangu naona kama itabidi nyuma wapakatane.

Hivyo ndio maana natafuta 7 seaters ili siku nikiwa na wageni wasio na isafiri na ikalazimika kupanda wote na familia basi watoto wajirushe huko nyuma kutoa nafasi kwa seat za kati.
 
Hahhaha. Nimependa hiyo "kwani unataka kufanya school basi." Mkuu nina watoto 2. Sasa nikiwa na watu wazima wa kubeba mbali na mke wangu naona kama itabidi nyuma wapakatane. Hivyo ndio maana natafuta 7 seaters ili siku nikiwa na wageni wasio na isafiri na ikalazimika kupanda wote na familia basi watoto wajirushe huko nyuma kutoa nafasi kwa seat za kati.

Okey ukitaka hivyo mkuu nunua Spacio New Model yenye CC1497 1NZ series Engine utafurahi kwenye matumizi ya mafuta mpaka space na ina nyanyuka vizuri ukiweka spenser ya 1inch.

Imean Spacio ya kuanzia mwaka 2002 kuendelea.
 
Okey ukitaka hivyo mkuu nunua Spacio New Model yenye CC1497 1NZ series Engine utafurahi kwenye matumizi ya mafuta mpaka space na ina nyanyuka vizuri ukiweka spenser ya 1inch.

Imean Spacio ya kuanzia mwaka 2002 kuendelea
Asante mkuu. Lkn naziona ziko chini sana na mie napenda iwe juu kiasi kama Rav4 hivi
 
Asante mkuu. Lkn naziona ziko chini sana na mie napenda iwe juu kiasi kama Rav4 hivi

Ukinunua Spacioa isiyokua na Feeders ukaiwekea Spensers za nchi moja inanyanyuka vizuri sana na hutopata kero ya kugusa chini.

Feeders ni hizi na uziepuke kwa nature ya barabara zetu hizi za kibongo though ni urembo kwenye gari. Mishale ya red ndo inaonyesha feeder
Feeder.PNG

Hii haina feeder
No Feeder.PNG
 
Ndugu yangu ford ,volvo,nissan.,isuzu .hizo gar usithubutu hata siku moja ,hasa kwa new model zinazotoka sasa hiv mafund wao wapo tyu ila bei yake ni hatar coz ni gar zinazo tumia mfumo wa umeme sana .pili spea zake hasa za nje kama taa kioo show ya mbile side miroo ni ngumu kupatkana mjin wanaita ni mimba ya tasa unazunguka mji mzma unaambiwa mpka uagize nje tabu yote ya nini si uchukue gar yoyote ila iwe kampun ya toyota kama raum , noah ,voxy .na nyingnezo
 
Ukinunua Spacioa isiyokua na Feeders ukaiwekea Spensers za nchi moja inanyanyuka vizuri sana na hutopata kero ya kugusa chini....
Asante mkuu. Nikushukuru kwanza kwa kwa ushauri wako na uvumilivu wako kwa maswali yangu. Yawezekana maswali mengine yalikuwa ya level ya chini kabisa lakni hukujali. Pamoja na wengine mliochangia juu ya maswali yangu.

Michango yenu imekuwa ya manufaa kwangu na naendelea kuipokea. Nimejifunza mengi na nitaendelea kujifunza mengi kwenu. Michango yenu imenisogeza karibu na kufanya uamzi wa mwisho.

Naomba msichoke kuendelea kunisaidia katika anga hii ya magari.

Mbarikiwe sana. Nitaendelea kusoma michango yenu.
 
Ndugu yangu ford ,volvo,nissan.,isuzu .hizo gar usithubutu hata siku moja ,hasa kwa new model zinazotoka sasa hiv mafund wao wapo tyu ila bei yake ni hatar coz ni gar zinazo tumia mfumo wa umeme sana .pili spea zake hasa za nje kama taa kioo show ya mbile side miroo ni ngumu kupatkana mjin wanaita ni mimba ya tasa unazunguka mji mzma unaambiwa mpka uagize nje tabu yote ya nini si uchukue gar yoyote ila iwe kampun ya toyota kama raum , noah ,voxy .na nyingnezo
Nimekupata mkuu
 
Vipo volvo xc90 za 2004 hapa mjini nazo ni shida?
 
Sure kluger hiyo 2.4 2AZ ni nzuri sana,na naipenda sana hiyo engine. sasa akikutana na wajuaji kama hajui anapigwa ile 1MZ ambayo ni 3.0 mbona ataita mama...
Hiyo kitu niliiona pale Mkwajuni Kinondoni, madalali wanabadilisha hizo namba nyuma ya gari. Niliona kwenye Rav4 J wakaweka L pale nyuma...

Mwanzo sikuelewa, baadae nikaona wanatoa VW Golf 2L wakachomeka 1.6L. Tangu hapo naona siwezi kuwaamini watz wenzangu.
 
Asante mkuu. Nikushukuru kwanza kwa kwa ushauri wako na uvumilivu wako kwa maswali yangu. Yawezekana maswali mengine yalikuwa ya level ya chini kabisa lakni hukujali. Pamoja na wengine mliochangia juu ya maswali yangu...
Japo sikuchangia chochote,nimeshawishika kukupongeza kwa kushukuru fadhila za waliokupa mawazo. Unaonekana ni mtu mwenye busara na uelewa wa hali ya juu.

Mungu akuzidishie hekima.
 
Hiyo kitu niliiona pale Mkwajuni Kinondoni, madalali wanabadilisha hizo namba nyuma ya gari. Niliona kwenye Rav4 J wakaweka L pale nyuma...

Mwanzo sikuelewa, baadae nikaona wanatoa VW Golf 2L wakachomeka 1.6L. Tangu hapo naona siwezi kuwaamini watz wenzangu.
Biashara nyingi bongo zimejaa ghushi na ulaghai. Poor watz sisi.
 
Asante. Niwajibu wetu kushukuru. Unajua ningeliweza kuuliza na watu wakakaa kimya na ni haki yao. Lkn mtu anapotoa muda wake na kukushirikisha kuona ni vyema akuahirikishe kile anachokijua hatuna budi kushukuru kwa utu wake na uungwana wake wakujali wengine.
 
Chukua Volvo XC90 nigari nzurii sana chukua ile yenye CC 2500. Hutajuta ushaurii wangu kwanza imekaa poa sana na ina seatrs 7
Bei ikoje mkuu hadi uitoe na kuingia barabarani?

Vipi iko ya size kama RAV au inaukubwa gani, kwa maana road clearance inafika angalau sawa na Rav4?

Kuhusu Ford kama uzi unavyosema chukua Escape ya mwaka 2006,2007 na 2008 yenye cc 2260,wallah hutajutia pesa yako. Kwanza haili mafuta.
 
Hiyo kitu niliiona pale Mkwajuni Kinondoni, madalali wanabadilisha hizo namba nyuma ya gari. Niliona kwenye Rav4 J wakaweka L pale nyuma...

Mwanzo sikuelewa, baadae nikaona wanatoa VW Golf 2L wakachomeka 1.6L. Tangu hapo naona siwezi kuwaamini watz wenzangu.

Hehehe hao jamaa hawafai kabisa aisee
 
Bei ikoje mkuu hadi uitoe na kuingia barabarani?
Vipi iko ya size kama RAV au inaukubwa gani, kwa maana road clearance inafika angalau sawa na Rav4?
Kuhusu Ford kama uzi unavyosema chukua Escape ya mwaka 2006,2007 na 2008 yenye cc 2260,wallah hutajutia pesa yako. Kwanza haili mafuta.

Hizo ford escape yenye engine YF cc1980 ni afadhali kidogo kwenye mafuta kuliko hizo L3 ya cc2260 na komesha yake AJ cc2960 na Ford Escape zenye engine hizo zote unaweza pata kuanzia 2004 kuendelea sio lazima ajilimit sana na mi engine yenyewe ni ya Mazda

Kwanza huyu jamaa anataka 7seaters na hiyo gari siyo ya watu 7.

Niliwahi mnunulia ndugu yangu kwa ubishi wake sahizi imepaki uwani huko sababu ya spares, kwa Dar kuna duka moja huko Tabata ndo angalau unapata vispare tena mostly vya service kama filter ila nyingine nyingi ni mimba.

Though huyu jamaa akipenda kununua hiyo gari na ana gari ya ziada ili ikiharibika anasubiria spea za kuagiza nayo sio mbaya ila ni hatari sana,usumbufu pamoja na gharama.
 
Sure kluger hiyo 2.4 2AZ ni nzuri sana,na naipenda sana hiyo engine. sasa akikutana na wajuaji kama hajui anapigwa ile 1MZ ambayo ni 3.0 mbona ataita mama...
All said is fine
Lakini kama ni mimi I will go for RAV 4 cc 1790=1800 VVTi engine type, ninayo three years sijajutia, fuel consumption 1lt=13kilometres, Escudo iliyosemwa hapo juu cc2400 pia hata RAV4 kuna ya cc2360=2400.

Bado Rav niliyosema hapo juu consuption yake ipo china ukilinganisha na Kruger. Car type and engine type be careful. Pia kwa budget yako inatosha kuagiza direct from Japan, usichukue mkononi mwa mtu wala show room ambao uchakachuaji ni mwingi. Best wishes on your selection
 
Nashukuru sana kwa ushauri wenu.

Je ni gari gani nzuri ambayo ni 7 seaters kwa familia. Namaanisha hizi suv size ya kati.
Kama una HELA na hujali maneno ya Wabongo chukua VANGUARD. utanishukuru baadae. Kama bahili nunua Liteace
 
All said is fine
Lakini kama ni mimi I will go for RAV 4 cc 1790=1800 VVTi engine type, ninayo three years sijajutia, fuel consumption 1lt=13kilometres, Escudo iliyosemwa hapo juu cc2400 pia hata RAV4 kuna ya cc2360=2400.

Bado Rav niliyosema hapo juu consuption yake ipo china ukilinganisha na Kruger. Car type and engine type be careful. Pia kwa budget yako inatosha kuagiza direct from Japan, usichukue mkononi mwa mtu wala show room ambao uchakachuaji ni mwingi. Best wishes on your selection
Asante kwa msaada ndo maana nasisitiza bongo si pa kununua gari. Madalali wasanii sana
 
Mkuu 7seaters ni gari ndogo sio za juu kama unavyomaanisha mfano Spacio New Modelunapata 7seaters

Ila kama una budget ya 25M to 30M unaweza pata hii gari Suzuki Escudo I repeat Suzuki Escudo with engine TD54W ya CC1990. Narudia tena simaanishi Suzuki Grand Vitara maana zinafanana na vitara nyingi zina engine kubwa kwahiyo utaingia matatizoni...
Spea za VITARA hii ni majanga ndugu. Usijaribu. Bakia huko huko TOYOTA
 
Back
Top Bottom