- Thread starter
- #21
Hahhaha. Nimependa hiyo "kwani unataka kufanya school basi." Mkuu nina watoto 2. Sasa nikiwa na watu wazima wa kubeba mbali na mke wangu naona kama itabidi nyuma wapakatane.Hapana mkuu kwani unataka kufanya school bus?
Hiyo ni 5 Seats ukiamua nyuma unatupia wanne kamasio wanene sana
Hivyo ndio maana natafuta 7 seaters ili siku nikiwa na wageni wasio na isafiri na ikalazimika kupanda wote na familia basi watoto wajirushe huko nyuma kutoa nafasi kwa seat za kati.