MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,526
Habari wakulungwa, natumaini mko poa kabisa.
kuna best yangu mmoja hajawaiii tumia iphone na niseme ukweli na mimi mmoja wapo na sababu tu sizipendi kwakuwa nasikia zina limit na mambo ya kuto kaa na chaji na blaa blaaa kibao.
Juzi jamaa kaniomba ushauri juu ya iphone 7 plus kuwa anataka kununua na ni baada ya jamaa ku mshauri kuwa iphone ndo simu kiboko na hata jutia akinunua, kiukweli sijatia neno zaidi ya kumwambia kuwa mimi na apple sio sana ila nika mwambia anipe mda ili nipate nafasi ya kuwa uliza wana jf. maana asilimia kubwa wana tetea ulizi imara kwnye iphoone ila mimi kwa africa naona sio big deal.
NOTE: Nilikuwa naomba ushauri anae ijua iphone 7 plus kiundani au anae juaa utamu (sifaa) za iphone naomba comment yake pls. nahisi neno lako lita saidi maamuzi ya jamaa yangu.
Na pia tofauti ya mtu anae sema battery ni 100% na 80%? ASANTE