Ushauri juu ya Iphone 7+ Plus

Ushauri juu ya Iphone 7+ Plus

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
Habari wakulungwa, natumaini mko poa kabisa.

kuna best yangu mmoja hajawaiii tumia iphone na niseme ukweli na mimi mmoja wapo na sababu tu sizipendi kwakuwa nasikia zina limit na mambo ya kuto kaa na chaji na blaa blaaa kibao.

Juzi jamaa kaniomba ushauri juu ya iphone 7 plus kuwa anataka kununua na ni baada ya jamaa ku mshauri kuwa iphone ndo simu kiboko na hata jutia akinunua, kiukweli sijatia neno zaidi ya kumwambia kuwa mimi na apple sio sana ila nika mwambia anipe mda ili nipate nafasi ya kuwa uliza wana jf. maana asilimia kubwa wana tetea ulizi imara kwnye iphoone ila mimi kwa africa naona sio big deal.

bbb.jpg

NOTE: Nilikuwa naomba ushauri anae ijua iphone 7 plus kiundani au anae juaa utamu (sifaa) za iphone naomba comment yake pls. nahisi neno lako lita saidi maamuzi ya jamaa yangu.

Na pia tofauti ya mtu anae sema battery ni 100% na 80%? ASANTE
 
Changamoto ni charge mengine yanavumilika maana kuna njia za kuyatatua ingawa sio nyepesi.
 
Changamoto ni charge mengine yanavumilika maana kuna njia za kuyatatua ingawa sio nyepesi.
kwenye swala la chaji huwa inaweza kaa mda gani mkuu kama ni mtu wa kuperuziiii
 
kwenye swala la chaji huwa inaweza kaa mda gani mkuu kama ni mtu wa kuperuziiii
Zima data,punguza mwanga ni masaa 7.

Ukiwa online muda wote na data huzimi masaa 4.
 
Si unajua mzee,bongo ni mizigo refurb tupu??
na mtu akisema kuwa battery ni 100% na mwingine akisema yake ni 80% ana maana ganiii.

so una maana kuwa za wenzetu zao zile mpyyaaa zina kaaa na chajii au ndo zote zilivyo hivyoo kwenye upande wa kuhifadhi chaji
 
Huo ni ubora ambao betry bado linao.

Kwa maàna nayepesi,100 bado inatunza charge vizuri kuliko hiyo 80.
 
Habari wakulungwa, natumaini mko poa kabisa.

kuna best yangu mmoja hajawaiii tumia iphone na niseme ukweli na mimi mmoja wapo na sababu tu sizipendi kwakuwa nasikia zina limit na mambo ya kuto kaa na chaji na blaa blaaa kibao. Juzi jamaa kaniomba ushauri juu ya iphone 7 plus kuwa anataka kununua na ni baada ya jamaa ku mshauri kuwa iphone ndo simu kiboko na hata jutia akinunua, kiukweli sijatia neno zaidi ya kumwambia kuwa mimi na apple sio sana ila nika mwambia anipe mda ili nipate nafasi ya kuwa uliza wana jf. maana asilimia kubwa wana tetea ulizi imara kwnye iphoone ila mimi kwa africa naona sio big deal.

View attachment 1795861

NOTE: nilikuwa naomba ushauri anae ijua iphone 7 plus kiundani au anae juaa utamu (sifaa) za iphone naomba comment yake pls. nahisi neno lako lita saidi maamuzi ya jamaa yangu.

Na pia tofauti ya mtu anae sema battery ni 100% na 80%? ASANTE
Mkuu ingia hii website "GSMArena.com - mobile phone reviews, news, specifications and more..."

kisha andika Jina la simu hiyo kwenye sehemu ya "search"

full details za hiyo simu zitaletwa hapo unaweza kusoma

Pia,,, nenda ukasome na "User Reviews" kutoka nchi mbali mbali utapata majibu sahihi.

All the Best mkuu.
 
zipo vizuri! Camera nzuri sana,,cha maana nunua mpya maan used zinachangamoto sana!
 
Mkuu ingia hii website "GSMArena.com - mobile phone reviews, news, specifications and more..."

kisha andika Jina la simu hiyo kwenye sehemu ya "search"

full details za hiyo simu zitaletwa hapo unaweza kusoma

Pia,,, nenda ukasome na "User Reviews" kutoka nchi mbali mbali utapata majibu sahihi.

All the Best mkuu.
Gsm arena ina detail sa simu husika ikiwa mpya kwa mwaka zimetoka,kitu ambacho kinakosa uhalisia mpaka wakati huu.

Mfano betri wana rate muda wa standby ni masaa 300+ 2016 kipindi inatoka,wakati hicho kitu kwa sasa hakipo.
 
Sasa sheikhe ulitak uwekewe ikiwa used ? Taarifa hizo wakazichukue kwa simu ya. Nani ,? Wapi saa ngapi na nchi gani

Back
Top Bottom