Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kutokana na ukosefu wa ajira vijana wengi wamejiingiza kwenye biashara ya utapeli wa kimapenzi.
Ni vijana wa kiume kabisa wanatengeneza account Facebook, Instagram na Whatsapp wakijifanya mabinti.
Hutumia majina ya kike na kupakia picha mbalimbali za wanawake.
Jamii haiwezi kuielewa, siku jirani yako akiona mke wako au dada yako anauza malighafi mtandaoni atajua ni yeye kwa 100% , hajui kuwa ni vijana wa kiume wanajifanyia upatu kwa kutumia picha za mabinti kulaghai wanaume.
Mkienda deep mpaka video za ngono anakutumia akijifanya binti kumbe kazichota mtandaoni.
Sasa hivi hii biashara ya kuuziana video za utupu inalipa sana , unfortunately vijana wa kiume ndio huifanya sana.
Be careful binti, achana na mambo ya kujitupia picha mtandaoni. Waoaji wako kazini kwako, kanisani kwako, mtaani kwako.