Ushauri: Kama una mke au binti nyumbani kwako mshauri aache tabia ya kuposti picha zake mtandaoni

Ushauri: Kama una mke au binti nyumbani kwako mshauri aache tabia ya kuposti picha zake mtandaoni

Uko sahihi hasa kwa Tanzania. Wengi wanafungua account na kuziacha kuwa public hivyo kuwezesha watu kuchukuwa picha zao na kuzitumia kwa malengo mengine. Na pia kuna ujinga wa ku-accept kila anayeleta ombi la urafiki. Hili linafanya wasichana wawe victims wa picha zao kutumika kufikisha ujumbe wa kuwadhalilisha. Unaweza kukuta mtu anachukuwa picha ya msichana halafu anafungua account fake na kupost ile picha huku akiuliza mambo kama ''nikikupa utamaliza vingapi''? au ''kama ningekuwa kinywaji unganiita jina gani'' etc. Na hata wanaume wengine hasa wazee wenye mapengo au vilema vingine picha zao zinatumika kama vichekosho au vibwagizo. Jihadharini sana kuchagua mnapost picha gani na nina atakuwa na access nazo.
Upo sahihi kbsa
 
Back
Top Bottom