Akili ndogo utazijua!
Kuna watu wana degree za procurement leo wamejazana Halmashauri Nchini wanazunguka minadani kukusanya ushuru wa mbuzi minadani!
Kupiga pesa ni ukubwa wa akili yako na si ajira uliyo nayo!
Labda apate connection au awe na bahati yake ila bila hivo atasota sana tu.
Afadhali asoma kwa kupenda kuliko kisima ili aje apate ajira mana akikosa hizo stress zake sio za nchi hii.