Ushauri: Kaniacha ila upendo bado upo kwake

Eti ana 21? Na hiyo 2014 ulipoachwa ulikuwa na umri gani? Mpaka hapo ni wazi ulianza kujihusisha na mapenzi katika umri mdogo sana. Acha ujinga komaa na masomo utafute maisha achana na mambo ya kukimbizana na wanawake Mda wako utakuja.
 
alimuacha wakati wanamaliza darasa la saba sasa hivi anamkumbuka.....hili ndo tatizo la wanafunzi kwenda na simu mashuleni.
 
Reactions: Qj_
alimuacha wakati wanamaliza darasa la saba sasa hivi anamkumbuka.....hili ndo tatizo la wanafunzi kwenda na simu mashuleni.
kashfaa izoo
 
Haina maana kuringia gari la jirani yako wakati hata hupati lift, kuendelea kumuwazia ndivyo anavyozidi kukaa akilini mwako na ukiendelea kumpost itakuwia vigumu kupata mwingine
 
If love is so nice why is hurt so bad! Tell why so sad...
 
Haina maana kuringia gari la jirani yako wakati hata hupati lift, kuendelea kumuwazia ndivyo anavyozidi kukaa akilini mwako na ukiendelea kumpost itakuwia vigumu kupata mwingine
Mature speaking.. Playboy rules, guddah bro
 
Haina maana kuringia gari la jirani yako wakati hata hupati lift, kuendelea kumuwazia ndivyo anavyozidi kukaa akilini mwako na ukiendelea kumpost itakuwia vigumu kupata mwingine
Point niqqer Big up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…