Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama unapesa wala usijalivp tutaendana hapo au
Teh teh..Ataivaa na mkandaHivi umri huo hata ndom inakua inakutosha?
aisee tafuta pesaondoa izo sifur tatu usd 5000 nmekupaa rav4 kabisa
We kweli miss chaggausd 5,000
Una jua maana ya kupost kwenye social media?maana yake hayo unayopost si private tena ,sasa unamaanisha nini kupost mpenzi wa watu halafu kushirikisha watu wengine ambao hawana uhusiano nae?wewe ni past yake na kama kweli bado unampenda basi heshimu privacy yake si vyema kuweka picha au vitu vimuhusuvyo bila ridhaa yake na hswa mkowa hamna mashirikiano tena na umekiri mwenyewe hawezi na hutataka awe mpenzi wako tena sasa hizi genye mshindo za nini?wadau vp nimempost ex wangu nliekuwa nampenda sanaa...kaniacha tokaa 2014 ila mm mpaka leo nmeshakua na madem kadhaa ila bado ule upendo wa kwel upo kwake na siwez kumpata tenaa...na sjui kwann naskia rahaa nkiremind those happy moments ambazo tulikua pamoja...au najikuta naskiliza wimbo m1 tyu siku nzima unaonikumbushaa kuhus yeyee....na hapo najikuta nazid kumpendaa...Japo haez kuwa wangu tenaah...naeza mpotezea ataa 4 months ila najikuta namkumbukaa teenah...Ila sasaa nmeamua kuchuku uamuz huu....kwamba ntampendaa lakini sitataka awe mpenz wangu na nikijisikia kumpost ntampost kuonesha upendo wangu japo sitataka tuwe wapenz tena...ili tyu niridhishe nafsi Yangu...Na nafsi yangu isikiee Raahaa...!!
sasaa wataalam wa haya Mambo nishaurini je nipo sawa au nakosea...am 21 na ndo natakaa nianze kuenga life...imaraa.....i need positivee Feedbacks ma people...!!!
Nawasilisha
TheMason-Engineer!
Ha ha ha la sivo itadondoka kabla hata hajaingizaTeh teh..Ataivaa na mkanda
Sijui uwa unafikiria nn we kiumbeHa ha ha la sivo itadondoka kabla hata hajaingiza
Ukikua kielimu ndio utajua wenzenu tulianza na hadithi za kina snow white, aesop stories ,beauty and the beast and other fantasy stories as kids nyie mmeanza na kina shigongo misamiati murua ya kizungu mtaijulia wapi?at least kwa sasa musome sio kuangalia movie hadithi za kina harry porter !Fairy dust ni nn
Kwa copy wanazosoma na movie and katuni wanazoangalia huo msamiati hauwezi mwambie tu huyo Themason wale fairy waki grant wish ya mtu basi ile magic wand inatoa kama vumbi fulani hivi hicho kikitokea ndio mtakutana themason -refer cinderela cartoon(sisi tulianza kusoma vitabu vyake kwanza)Hahaha! Nimeleta ukatuni humu!!! Potezea mkuu
Asante kwa kunisaidia mkuu!Kwa copy wanazosoma na movie and katuni wanazoangalia huo msamiati hauwezi mwambie tu huyo Themason wale fairy waki grant wish ya mtu basi ile magic wand inatoa kama vumbi fulani hivi hicho kikitokea ndio mtakutana themason -refer cinderela cartoon(sisi tulianza kusoma vitabu vyake kwanza)
umemaliziaa vibayaaaUna jua maana ya kupost kwenye social media?maana yake hayo unayopost si private tena ,sasa unamaanisha nini kupost mpenzi wa watu halafu kushirikisha watu wengine ambao hawana uhusiano nae?wewe ni past yake na kama kweli bado unampenda basi heshimu privacy yake si vyema kuweka picha au vitu vimuhusuvyo bila ridhaa yake na hswa mkowa hamna mashirikiano tena na umekiri mwenyewe hawezi na hutataka awe mpenzi wako tena sasa hizi genye mshindo za nini?
nadhan ni utoto unamsumbuakwa nini mnaandika tyu? ni ushamba au ujinga?