Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakaa am Engineering Student hatuna io misamiati...sisi tuna Geoid....Theodolite...Dynamics...Plane Trusses....na kadhalikaa ninaa uhakikaa ivo pia ww hujuiUkikua kielimu ndio utajua wenzenu tulianza na hadithi za kina snow white, aesop stories ,beauty and the beast and other fantasy stories as kids nyie mmeanza na kina shigongo misamiati murua ya kizungu mtaijulia wapi?at least kwa sasa musome sio kuangalia movie hadithi za kina harry porter !
Endeleeni kufuga ukilaza!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuwa na miaka hiyo wakat kikwete bado waziri....humu unaweza kuwa unaomba ushauri kwa wanao kumbe.
Hata kidogo!mimi nitakutajia tu tabia zote za wanyama wakiwemo binadamu na matatizo yao ya ufahamu kutokana na sababu au mazingira mbalimbali!Kakaa am Engineering Student hatuna io misamiati...sisi tuna Geoid....Theodolite...Dynamics...Plane Trusses....na kadhalikaa ninaa uhakikaa ivo pia ww hujui
wadau vp nimempost ex wangu nliekuwa nampenda sanaa...kaniacha tokaa 2014 ila mm mpaka leo nmeshakua na madem kadhaa ila bado ule upendo wa kwel upo kwake na siwez kumpata tenaa...na sjui kwann naskia rahaa nkiremind those happy moments ambazo tulikua pamoja...au najikuta naskiliza wimbo m1 tyu siku nzima unaonikumbushaa kuhus yeyee....
Na hapo najikuta nazid kumpendaa...Japo haez kuwa wangu tenaah...naeza mpotezea ataa 4 months ila najikuta namkumbukaa teenah...Ila sasaa nmeamua kuchuku uamuz huu....kwamba ntampendaa lakini sitataka awe mpenz wangu na nikijisikia kumpost ntampost kuonesha upendo wangu japo sitataka tuwe wapenz tena...ili tyu niridhishe nafsi Yangu...Na nafsi yangu isikiee Raahaa...!!
sasaa wataalam wa haya Mambo nishaurini je nipo sawa au nakosea...am 21 na ndo natakaa nianze kuenga life...imaraa.....i need positivee Feedbacks ma people...!!!
Nawasilisha
TheMason-Engineer!
Yaani wewe!Hivi umri huo hata ndom inakua inakutosha?
huezi kuniajiri wewe acha kujitapavhumu JFHutu tutoto twa siku hizi ni Shida sana. Badala ya kukomaa na Shule unafikiria ngono tuu. Acha ujinga Dogo kaza buti mie niliishia darasa la saba kwa kukosa wa kunilipia Shule huwa nilikiona mtu anaacha kusoma anafikiria ujinga natamani nimmeze.
Maisha ni magumu tofauti na unavyofikiri ikitoka na ka GPA cha 2.5 Unakuja kuomba kazi kwangu utaambulia matusi ya nguoni mpaka ujute