Electric wire ni best kwa sababu,CCTV mtu anaweza kufanya tukio na camera akavunja kupoteza ushahidi.Salaam wadau.
Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV. Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina.
JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali. Naombeni ushauri, nianze na kipi?
Salaam wadau.

Toa utumbo wako hapaaVyote hivyo ni kazi bure kama huna Yesu kristo mwana wa Mungu.
Unajua kazi ya NVR/DVR mkuu?Electric wire ni best kwa sababu,CCTV mtu anaweza kufanya tukio na camera akavunja kupoteza ushahidi.
Aksante kwa maoni. Lakini siku nyingine kuwa serious na mambo bwasheeeVyote hivyo ni kazi bure kama huna Yesu kristo mwana wa Mungu.
Toa mashudu yako hapa. Acha kufunga milango nyumbani kwako ujitie kumfanya Yesu houseboy wako uone kama hautoibiwa. Hizi akili huwezi kuzikuta developed countries hata wakimbizi wa uko hawana akili hizi.Vyote hivyo ni kazi bure kama huna Yesu kristo mwana wa Mungu.
Sio rahisi hivyo ndugu yangu, watu wanaweza vaa mask utawaonaje? wengine unaweza ona sura na kuwapata usiwapate, mi nadhani electric fence is the best hata kutishia tishia tu vibaka wadogo wadogo!Kama ni mimi ningekuwa na option ya kuchaguwa kimoja wapo kati ya uzio wa nyaya za umeme au kamera za ulinzi bhas mimi ningechagua kamera za ulinzi. Kamera naweka na za kificho za kuona hadi usiku bhas inatosha. Hizo uzio za umeme zina namna yake ya kijinga na simple sana..bora kamera hata nikipigwa nita ambulia sura zao.
Vyote hivyo ni kazi bure kama huna Yesu kristo mwana wa Mungu.
Aksante kwa maoni. Lakini siku nyingine kuwa serious na mambo bwasheee
Toa mashudu yako hapa. Acha kufunga milango nyumbani kwako ujitie kumfanya Yesu houseboy wako uone kama hautoibiwa. Hizi akili huwezi kuzikuta developed countries hata wakimbizi wa uko hawana akili hizi.
Salaam wadau.
Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV. Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina.
JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali. Naombeni ushauri, nianze na kipi?
Ndio changamoto hizo za kiulinzi kwa kutumia vifaa badala ya mtu..(physical) hizo nyaya kama ni kutishia vibaka sawa..ila kamera za siri ndio mpango mzima.Sio rahisi hivyo ndugu yangu, watu wanaweza vaa mask utawaonaje? wengine unaweza ona sura na kuwapata usiwapate, mi nadhani electric fence is the best hata kutishia tishia tu vibaka wadogo wadogo!
Akavunja kabla ya tukio au baada ya kufanya tukio?Electric wire ni best kwa sababu,CCTV mtu anaweza kufanya tukio na camera akavunja kupoteza ushahidi.
When you have more than you need, build a longer table not a higher fence.Salaam wadau.
Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV. Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina.
JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali. Naombeni ushauri, nianze na kipi?
Ulinzi wa Mungu unaanzia pale wa binadamu unapoishiaVyote hivyo ni kazi bure kama huna Yesu kristo mwana wa Mungu.
Nimekuelewa sana hapa kaka mkubwa, tunachuma vingi tunapata tabu kuvitunza!When you have more than you need, build a longer table not a higher fence.
View attachment 1595121
Vyote hivyo ni kazi bure kama huna Yesu kristo mwana wa Mungu.