Ushauri: Kati ya nyaya za umeme kuzunguka nyumba (electric fence) na kamera za ulinzi (CCTV camera) ipi inafaa kwa matumizi ya nyumbani?

Ushauri: Kati ya nyaya za umeme kuzunguka nyumba (electric fence) na kamera za ulinzi (CCTV camera) ipi inafaa kwa matumizi ya nyumbani?

Ndio changamoto hizo za kiulinzi kwa kutumia vifaa badala ya mtu..(physical) hizo nyaya kama ni kutishia vibaka sawa..ila kamera za siri ndio mpango mzima.
Sure, vyote hivyo vina changamoto yake ni uamuzi na uchaguzi wa mtu tu!
 
Ushajaribu kuwa na mbwa, mijibwa haswa siyo mbwa mbuzi??

Everyday is Saturday...............................😎

Nilienda kwa mkubwa fulani jamaa hana mbwa wa milioni 10 ni mmoja tena yule mbwa ni ndama kabisa .hawa mbwa hata banda lao ni chuma tupu sio kichuma sijui ni jamii hii lakini lenyewe sio la manyoa.View attachment 1595129
 
Ushajaribu kuwa na mbwa, mijibwa haswa siyo mbwa mbuzi??

Everyday is Saturday...............................😎
Hapana. Sijawahi kufuga mbwa mkuu. Bahati mbaya wife hapendi kabisa kusikia kitu kinaitwa mbwa. Ana ushuhuda mbaya na mbwa maana mtoto wa rafiki yake moja alijeruhiwa vibaya sana na mbwa wao wanaomfuga.
 
Back
Top Bottom