Misako
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 1,143
- 1,399
😂Aksante kwa maoni. Lakini siku nyingine kuwa serious na mambo bwasheee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Aksante kwa maoni. Lakini siku nyingine kuwa serious na mambo bwasheee
Hapa umempa ushauri mzuri sana.You can’t compare the two, they are both needed, zina matumizi tofauti! Ya kwanza ni kumzuia na kumpa mhalifu ugumu wa kuingia kwako, na ya pili ni kumwona mwalifu!
Kama unakaa mahali pa Vibaka, then you do not need camera, go with fence, why? Utaishia kuangalia kwa cctv walevi, Mateja etc!
Zote ni muhimu kukamilisha usalama wa Nyumba ila kama unaanza na moja then inategemea na mazingira na kwa case yako nenda na fence !
Nimewaza kama wewe mkuu huu ndio ukweli wenyeweSio rahisi hivyo ndugu yangu, watu wanaweza vaa mask utawaonaje? wengine unaweza ona sura na kuwapata usiwapate, mi nadhani electric fence is the best hata kutishia tishia tu vibaka wadogo wadogo!
Na wakati huo washabeba vitu na kuondoka navyo wewe unabaki kuhangaika na cctv cameraChangamoto ya CCTV unaweza kuona sura ila usiwapate.
Ndio maana mimi siyapendi mambwa ni kero kuishi nayoKuna jamaa alikuwa nayo matatu, alikuwa anawalisha nyama mbichi yakawa kama simba, siku yalipotoka nje yakatafuna shingo ya mtoto wa darasa la nne na kuua hapo hapo!
Huo mfumo kwa lugha ya kizungu unaitwa intruder alarm system kama Kuna mtu anaitaji mfumo huo tafadhali tuwasilianeHapa umempa ushauri mzuri sana.
Ila nataka niongezee kitu kimoja hapa.
Kuna system fulani hivi ambazo huwa zinategeshwa milangoni na mwizi akivunja au kufungua alarm inatoa sauti kama ya king'ora na pia simu yako inakuwa inaita kukupa ishara kuwa wezi wameingia.
Hii kidogo inaweza kusaidia kuwatisha wahalifu washindwe kuiba ila hizo za cctv camera wakificha sura basi huna uwezo wa kuwakamata
Huo mfumo kwa lugha ya kizungu unaitwa intruder alarm system kama Kuna mtu anaitaji mfumo huo tafadhali tuwasiliane
Hii imekaa poa sana kiaina!Cctv na Electric fence vyote ni muhimu kwa ajiri ya ulinzi wa kisasa
CCTV
Tatizo litakuja kuwa tayari umeshaibiwa na ukafanya playback na kuwaona walioiba na sura zao zikaonekana vizuri kabisa.changamoto inakuja kwenye kuwapata hao watu huo ndo mtihani mkubwa
FENCE
Hii inawatisha wezi na vibaka na wao wanatambua mfumo huo. wanaweza kufunika zile waya za umeme kwa magunia na wakaweka ngazi na kuingia ndani na wakafanya yao. Njia ya pili wanaweza kutoboa ukuta na kuingia ndani. Hivyo mifumo hiyo ya ulinzi Ina ubora wake na mapungufu yake.
Kwa ushauri wangu kama unasmart TV ambazo vibaka wengi ndo wanazipenda funga TV gps tracker kwenye tv yako and relax. Siku ikiibiwa we riport polisi.na anza kazi ya kuitrack tv yako kupita application kwenye Simu yako. Na utakaye mkamata na TV yako huyo ndo utazaa nae
Ukitaka huduma ya kufungiwa TV Gps tracker tuwasiliane
In security industry we have 3D's; The first D stands for Denial eg wall and electric fence the second one for Detection eg CCTV and dog and the third one for Deterence eg security guard, wall/fence, CCTV, etcYou can’t compare the two, they are both needed, zina matumizi tofauti! Ya kwanza ni kumzuia na kumpa mhalifu ugumu wa kuingia kwako, na ya pili ni kumwona mwalifu!
Kama unakaa mahali pa Vibaka, then you do not need camera, go with fence, why? Utaishia kuangalia kwa cctv walevi, Mateja etc!
Zote ni muhimu kukamilisha usalama wa Nyumba ila kama unaanza na moja then inategemea na mazingira na kwa case yako nenda na fence !
Funga senyenge juu y ukutaCCTV haiwez saidia kituSalaam wadau.
Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV.
Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina.
JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali. Naombeni ushauri, nianze na kipi?
Watu wengn mnapenda kuharibu nyuzi za watu, sasa hapo yesu kaingiaje jamani, yesu atamzuia kibaka kuiba?Vyote hivyo ni kazi bure kama huna Yesu kristo mwana wa Mungu.
Watatoboa ukuta na kupita.Ukuta tu bila hata waya tia fensi futi 12 mchezo kwisha
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile
Duh!! We mkatili sana weweSipendagi ujinga weka umeme live wa tanesco ukigusa tu kwa heri
Mbwa koko hujamtajaMbwa wamegawanyika mbwa shoo,mbwa wa wema wale wakuringa nao,mbwa polisi,mbwa rafiki,mbwa jeshi,polisi,jambazi,adui,mwitu n.k