Chuku chuku
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 873
- 1,360
Sure, vyote hivyo vina changamoto yake ni uamuzi na uchaguzi wa mtu tu!Ndio changamoto hizo za kiulinzi kwa kutumia vifaa badala ya mtu..(physical) hizo nyaya kama ni kutishia vibaka sawa..ila kamera za siri ndio mpango mzima.
Ushajaribu kuwa na mbwa, mijibwa haswa siyo mbwa mbuzi??
Everyday is Saturday...............................😎
Rejea;Electric wire ni best kwa sababu,CCTV mtu anaweza kufanya tukio na camera akavunja kupoteza ushahidi.
Akivunja camera itakua ishamrecord labda akaibe DVR/NVRElectric wire ni best kwa sababu,CCTV mtu anaweza kufanya tukio na camera akavunja kupoteza ushahidi.
Mambo ya motivational Speaker hayo.When you have more than you need, build a longer table not a higher fence.
View attachment 1595121
Hapana. Sijawahi kufuga mbwa mkuu. Bahati mbaya wife hapendi kabisa kusikia kitu kinaitwa mbwa. Ana ushuhuda mbaya na mbwa maana mtoto wa rafiki yake moja alijeruhiwa vibaya sana na mbwa wao wanaomfuga.Ushajaribu kuwa na mbwa, mijibwa haswa siyo mbwa mbuzi??
Everyday is Saturday...............................😎
Walokole mna tatizo mahali..najua utabishaVyote hivyo ni kazi bure kama huna Yesu kristo mwana wa Mungu.
Nadhani haifahamu, siku hizi watu NVR/DVR wanaficha darini kabisa utaona monitor tu labda hiyo ndio atavunja kupoteza ushahidi [emoji23][emoji23]Unajua kazi ya NVR/DVR mkuu?
Aisee!Electric wire ni best kwa sababu,CCTV mtu anaweza kufanya tukio na camera akavunja kupoteza ushahidi.
Changamoto ya CCTV unaweza kuona sura ila usiwapate.Sio rahisi hivyo ndugu yangu, watu wanaweza vaa mask utawaonaje? wengine unaweza ona sura na kuwapata usiwapate, mi nadhani electric fence is the best hata kutishia tishia tu vibaka wadogo wadogo!
Aisee!Kama huna uwezo kwa sasa, basi pambana. Ukipata chochote uje upate maoni ya wadau.
Duh mbwa mbuzi ha ha haUshajaribu kuwa na mbwa, mijibwa haswa siyo mbwa mbuzi??
Everyday is Saturday...............................😎
Mkuu, ctv cmera pale unapoioa sio kuwa inahifadhi footage pale pale. Device yenyewe haiwi pale. Hivyo utavunja kamera ila picha zimeshahifadhiwa.Electric wire ni best kwa sababu,CCTV mtu anaweza kufanya tukio na camera akavunja kupoteza ushahidi.
Hana mbwa(hakuna mbwa)Nilienda kwa mkubwa fulani jamaa hana mbwa wa milioni 10 ni mmoja tena yule mbwa ni ndama kabisa .hawa mbwa hata banda lao ni chuma tupu sio kichuma sijui ni jamii hii lakini lenyewe sio la manyoa.View attachment 1595129
Duh mbwa mbuzi ha ha ha
Mara kibao hii inatokea, watu wana footage za waharifu lakini pa kuwapata hawapaoni!Changamoto ya CCTV unaweza kuona sura ila usiwapate.
Huku kwetu vibaka walikuja wamejipaka majivu usoni, hapo cctv vipi
Ha ha ha sometime unaibiwa unabaki unacheka tu!Huku kwetu vibaka walikuja wamejipaka majivu usoni, hapo cctv vipi