Ushauri Kati ya Toyota Raum na Toyota Ipsum nichukue ipi?

Ushauri Kati ya Toyota Raum na Toyota Ipsum nichukue ipi?

Si unataka safari ndefu yenye uhakika chukua Brevis Cc 3000 mkuu Mwanza unsgusa tuu yaani king of the road
Brevis gari nzuri sana kwa safari ndefu, ila mafuta utalia. Dar Mbeya unateleza tu
 
Jini kivipi?....ndoto yangu hiii
Gari kama brevis sio ya kuringa nayo misele ya town,pia linapokuja suala la service na kui manage ni story nyingine tumeponea tu road licence ingawa haina unafuu kivile..kwangu mimi ni gari zaidi ya anasa
 
Raum kwa bajeti yako hiyo ya 11m unapata mpya kabisa ref...used in JPN new in Tz,na ukitaka kuifaidi kama una mawakala wa kuagiza magari kwa bei nafuu tafuta ya low mileage hutakaa kujutia hiyo gari
 
Raum kwa bajeti yako hiyo ya 11m unapata mpya kabisa ref...used in JPN new in Tz,na ukitaka kuifaidi kama una mawakala wa kuagiza magari kwa bei nafuu tafuta ya low mileage hutakaa kujutia hiyo gari
Thanx mdau
 
Raum naichukia Ule mlango ila mengine iko safi, naipenda pia Corolla spacio new model
Yeees wewe umenena vyema angechukua Corrola Spacio hii mpya inayofanana na Raum ni gari yenye space kubwa pia mafuta ninkawaida sana
 
2003.png

2005.png

je ipi kati ya hizo itanifaa?Ulaji wa mafuta, na uimara ipi nzuri?
BE FORWARD : 2005 TOYOTA Raum
BE FORWARD : 2003 TOYOTA Raum
Mkuu,Hongera kwa kupiga hatua, cheki hizo Raum. I think Raum itakusaidia kwenye fuel savings na hata ushuru ili angalau chenji ibaki hapo...
Kama ukichukua ya mwaka 2003, utapata nafuu kwenye ushuru ya takrabin sh milioni moja. Tena hiyo ya 2003 imetembea kidogo...
 
Raum model 2008 ipo comfortable sana,body design,ndani na nje ,fuel consumption ipo poa sana hili toleo ingawa Raum ni Raum lakini kwa toleo hili naona ipo tofauti kidogo
Kapicha tafathali nami nahitaji raum new model
 
Back
Top Bottom