Ushauri Kati ya Toyota Raum na Toyota Ipsum nichukue ipi?

Ushauri Kati ya Toyota Raum na Toyota Ipsum nichukue ipi?

Nimetumia raum kwa miaka mi4 iko very comfortable. Sema itabidi utoe tair ya 14 uweke tairi ya 15 au uinyanyue juu kidogo. after that ni kupeta tu.

nilikuwa nikiweka mafuta ya 30 namaliza week nzima. au nikienda arusha moshi ilikuwa inamaliza 20 tu
Arusha-Moshi ni lita6 tu.
 
Mimi nimezitumia gari zote mbili, nakushauri ununue Raum, kwa sababu ya pesa uliyonayo na itabaki kidogo kufanyia mambo mengine, inatumia mafuta kidogo, ni imara na kwenda mwanza pia inafaa
 
Back
Top Bottom