Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,596
- 2,079
Arusha-Moshi ni lita6 tu.Nimetumia raum kwa miaka mi4 iko very comfortable. Sema itabidi utoe tair ya 14 uweke tairi ya 15 au uinyanyue juu kidogo. after that ni kupeta tu.
nilikuwa nikiweka mafuta ya 30 namaliza week nzima. au nikienda arusha moshi ilikuwa inamaliza 20 tu
Kwa tochi hizi?Brevis gari nzuri sana kwa safari ndefu, ila mafuta utalia. Dar Mbeya unateleza tu
Kwa mchana utalipa faini sana ila tukiwa na haraka tunalipa tu na chombo kinatambaaKwa tochi hizi?
Cc 3000 halafu unauliza ulaji wa mafuta!Ulaji wa mafuta wa hiyo Brevis ukoje?
ukubwa wa cc ndio ukubwa na kazi ya ulaji wa mafutaBrevis unaweza kupata kwa kiasi hicho cha fedha alicho nacho? Na vipi ulaji wake wa mafuta?
Ile ni nzuri aisee we kweli kibokkRaum naichukia Ule mlango ila mengine iko safi, naipenda pia Corolla spacio new model
Sikujua, una-overspeed ili ulipe faini. Good for you.Kwa mchana utalipa faini sana ila tukiwa na haraka tunalipa tu na chombo kinatambaa