Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
- Thread starter
- #21
Ni gari gani mkuu? Na uliingiza mwaka gani?
Kama ina umri wa kuanzia miaka 10 toka uagize haiwezi fika 900k kwa kodi mpaka kupewa kadi mpya.
Endapo utayemuuzia akaamua kuitumia Hvyo hvyo na jina lako basi haitamsumbua na kdri anavyozid tumia kwa jina lako ndivyo exemption inapungua.
Endapo atataka kutumia na kubadilisha ownership basi itambidi apeleke pale mapato then apewe mtu wa clearing waikadirie kodi then ulipie na kufanyiwa transfer ila kwa gari hizi ndogo kama ina zaid ya 10 years toka uinunue bas ushuru wake hauzid 1m.
Nmetoka kushughulikia issue kama yako TRA kwa toyota wish muhim tu uwe makini lasivyo unawezapigwa
Asante sana Mkuu.Nilinunua gari mwaka 2008.
Nilibahatika kupata msamaha wa serikali mwaka 2008 katika kodi ya kuagiza hili gari kutoka ng'ambo..
Nafikiria kuliuza ili kupata gari lingine kwa maana limechakaa.
Je nikiuza itabidi anayelinunua alipe kodi yote niliyosamehewa mwaka 2008?
Je sheria inaruhusu kuliuza?
Ni Rav 4