Ushauri katika kuuza gari lililo na msamaha wa Serikali

Ni gari gani mkuu? Na uliingiza mwaka gani?
Kama ina umri wa kuanzia miaka 10 toka uagize haiwezi fika 900k kwa kodi mpaka kupewa kadi mpya.

Endapo utayemuuzia akaamua kuitumia Hvyo hvyo na jina lako basi haitamsumbua na kdri anavyozid tumia kwa jina lako ndivyo exemption inapungua.

Endapo atataka kutumia na kubadilisha ownership basi itambidi apeleke pale mapato then apewe mtu wa clearing waikadirie kodi then ulipie na kufanyiwa transfer ila kwa gari hizi ndogo kama ina zaid ya 10 years toka uinunue bas ushuru wake hauzid 1m.

Nmetoka kushughulikia issue kama yako TRA kwa toyota wish muhim tu uwe makini lasivyo unawezapigwa
Nilinunua gari mwaka 2008.
Nilibahatika kupata msamaha wa serikali mwaka 2008 katika kodi ya kuagiza hili gari kutoka ng'ambo..

Nafikiria kuliuza ili kupata gari lingine kwa maana limechakaa.

Je nikiuza itabidi anayelinunua alipe kodi yote niliyosamehewa mwaka 2008?

Je sheria inaruhusu kuliuza?
Asante sana Mkuu.

Ni Rav 4
 
Ajakuongopea ndio ukweli huyo mnunuaji mpya atakapotaka ajimilikishe lisome JINA lake

Mshauri huyo mnunuzi Umiliki uendelee tu kusoma JINA lako Ili apate gari Kwa bei chee
Je hawezi kupata changamoto ya kukata bima?

Pia je huko mjini kwa parking fees jina litakuwa linasoma mimi.
 
Nilinunua gari mwaka 2008.
Nilibahatika kupata msamaha wa serikali mwaka 2008 katika kodi ya kuagiza hili gari kutoka ng'ambo..

Nafikiria kuliuza ili kupata gari lingine kwa maana limechakaa.

Je nikiuza itabidi anayelinunua alipe kodi yote niliyosamehewa mwaka 2008?

Je sheria inaruhusu kuliuza?

Kwanza kabisa hutaweza kupata msamaha wa gari yako ya pili mpaka utakapofuta msamaha wa gari yako ya kwanza aina ya RAV4 uliyoingiza nchini mwaka 2008. Msamaha wako utakuwa umefutwa pindi utakapo ilipia ushuru na kupata kadi ya mpya ambayo itakuwa haina neno "IMPORTY DUTY EXEMPTION".

Kodi inayolipwa ni Import Duty & Excise Duty iliyosamehewa awali ambapo ushuru hukokotolewa kutokana na thamani ya gari ya sasa (rejea attachment ya customs assessment), mteja wangu aliingiza RAV4 mwaka 2010 na kusamehewa kodi, kutokana na thamani ya gari ya sasa baada ya kutoa uchakavu alilipa jumla ushuru kiasi cha TZS. 584,393.00 hivyo kupelekea kufuta msamaha wa kodi wa gari hiyo.

"Kwa huduma bora zifuatazo karibu Ruaha Freight Ltd;
1. Clearing & Forwarding kwa mizigo aina yote,
2. Kusaidia kuhamisha umiliki wa vyombo vya moto (Motor vehicle ownership transfer)

Wasiliana nasi;

Ruaha Freight Ltd,
Umati building 3rd Floor, Room No 18 Samora Avenue / zanaki street Dar es Salaam. P.O.Box 62442
Dar es Salaam
.
Email: info@ruahafreight.com
Website: www.ruahafreight.com
Tel: +255222128447

Mob: +255718 866 651 (call or whatsapp).''
 
Attachments

Kwanza kabisa hutaweza kupata msamaha wa gari yako ya pili mpaka utakapofuta msamaha wa gari yako ya kwanza aina ya RAV4 uliyoingiza nchini mwaka 2008. Msamaha wako utakua umefutwa pindi utakapo ilipia ushuru na kupata kadi ya mpya ambayo itakua haina neno "IMPORTY DUTY EXEMPTION".
Kodi inayolipwa ni Import Duty & Excise Duty iliyosamehewa awali ambapo ushuru hukokotolewa kutokana na thamani ya gari ya sasa (rejea attachment ya customs assessment), mteja wangu aliingiza RAV4 mwaka 2010 na kusamehewa kodi, kutokana na thamani ya gari ya sasa baada ya kutoa uchakavu alilipa jumla ushuru kiasi cha TZS. 584,393.00 hivyo kupelekea kufuta msamaha wa kodi wa gari hiyo.

"Kwa huduma bora zifuatazo karibu Ruaha Freight Ltd;
1. Clearing & Forwarding kwa mizigo aina yote,
2. Kusaidia kuhamisha umiliki wa vyombo vya moto (Motor vehicle ownership transfer)

Wasiliana nasi;

Ruaha Freight Ltd,
Umati building 3rd Floor, Room No 18 Samora Avenue / zanaki street Dar es Salaam. P.O.Box 62442
Dar es Salaam
.
Email: info@ruahafreight.com
Website: www.ruahafreight.com
Tel: +255222128447

Mob: +255718 866 651 (call or whatsapp).''
Asante sana nitakutafuta
 
Ajakuongopea ndio ukweli huyo mnunuaji mpya atakapotaka ajimilikishe lisome JINA lake

Mshauri huyo mnunuzi Umiliki uendelee tu kusoma JINA lako Ili apate gari Kwa bei chee
Hapa Unamshauri avunje sheria ya Nchi kwa kukwepa kodi.
Ngoja wamdake.
 
Nilinunua gari mwaka 2008.
Nilibahatika kupata msamaha wa serikali mwaka 2008 katika kodi ya kuagiza hili gari kutoka ng'ambo..

Nafikiria kuliuza ili kupata gari lingine kwa maana limechakaa.

Je nikiuza itabidi anayelinunua alipe kodi yote niliyosamehewa mwaka 2008?

Je sheria inaruhusu kuliuza?

Learn depreciation na jua kujieleza, nilinunua gari zuri kama jipya, lilikuwa la proffesor, nikajadiliana tu kuhusu depreciation etc (Lilikuwa limetumika Tanzania 15 years), nilicholipa ni kidogo sana. Nililipa laki 3 na kidogo. Inategemea na bei ya gari, sema aina ya gari na estimate then naweza kadiria kirahisi.
 
Hamna kitu kama hicho mkuu, kuwa na amani, ukipata mteja muelewa unamuuzia vizuri tu.
Kuhusu hicho kiwango kilichobakia mtaelewana bila changamoto yoyote ya kiserikali.
Issue hapo ni kua ataweza kubadili umiliki?
 
Hajakuongopea ndio ukweli, huyo mnunuaji mpya atakapotaka ajimilikishe lisome JINA lake

Mshauri huyo mnunuzi umiliki uendelee tu kusoma JINA lako Ili apate gari Kwa bei chee
Na ikitokea labda ajali (hatuombei lakini) gari right off atalipwa nani na bima?
 
Kodi inayolipwa ni Import Duty & Excise Duty iliyosamehewa awali

"Kwa huduma bora zifuatazo karibu Ruaha Freight Ltd;
1. Clearing & Forwarding kwa mizigo aina yote,
2. Kusaidia kuhamisha umiliki wa vyombo vya moto (Motor vehicle ownership transfer)

Habari mkuu.
Kuna gari nilinunua kwa mtu (Toyota Passo) 3 years ago, card ya gari inasoma jina la kampuni (but vehicle usage imeandikwa "private/normal").
Sasa nataka kubadili umiliki, isome jina langu. lengo nikitaka kuuza nisipate shida.
Nimeambiwa nichek TRA kwanza nijue kama gari ina madeni yoyote (vile card inasoma kampuni).

Nawezaje kuchek taarifa ya madeni ya gari TRA online? ama mpaka niende physically?
Maana nipo mbali kiodog (nje ya nchi). Nimejaribu kuingia website ya TRA sijaona hicho kipengele.

Kwa uzoefu wako, madeni yanaweza kufika kiasi gani (gari inamilikiwa na kampuni lakini matumizi yake ni private).
 
Kuna mahali kwenye kadi hapo hapo waweza jua, ila kwa ajili ya utapeli wewe tafuta mtu wa TRA akusaidie kuuliza au nenda kabisa, Dunia ngumu hii, utapoteza mda kwenda ila utakuwa na amani.

Ila wakati mwingine mimi naangalia personality ya muuzaji, office yake, na damina, then naamua kuamini maneno yake, ila kama hasomeki, nenda kathibitishe.
 
Habari mkuu.
Kuna gari nilinunua kwa mtu (Toyota Passo) 3 years ago, card ya gari inasoma jina la kampuni (but vehicle usage imeandikwa "private/normal").
Sasa nataka kubadili umiliki, isome jina langu. lengo nikitaka kuuza nisipate shida.
Nimeambiwa nichek TRA kwanza nijue kama gari ina madeni yoyote (vile card inasoma kampuni).

Nawezaje kuchek taarifa ya madeni ya gari TRA online? ama mpaka niende physically?
Maana nipo mbali kiodog (nje ya nchi). Nimejaribu kuingia website ya TRA sijaona hicho kipengele.

Kwa uzoefu wako, madeni yanaweza kufika kiasi gani (gari inamilikiwa na kampuni lakini matumizi yake ni private).
Kwa kuwa kadi inasoma "Private/Normal" ina maana kuwa gari haikua inafanya shughuli za kibiasharahivyo haiwezi kuwa ina deni. Ili kubadirisha umiliki nyaraka zifuatazo zipatikane
 
Huyo jamaa alikwambia kweli.

Mkuu hujawahi kununua gari za ubalozini zilizoingia kwa msamaha wa kodi?

Ukilinunua ukienda kufanya transfer utalipa kodi yote
Naunga mkono kwenye Hilo, cos yuko jamaa yangu alinunua Banz kwenye moja ya balozi hapa nchini.... Alipata tabu Sana alivulugwa mno maana alinunua kwa bei rahisi kumbe kuna mtego kwa mbele[emoji23]
 
N

NIlinunua Nissan patrol ubalozi wa Denmark mbona niliimba?
 
Habari mkuu...
Naona uliishia njiani, list ya nyaraka hujaweka. Nisaidie.

Je hakunaga shortcut pengine..
1. Mkataba wa mauziano kati ya mnunuzi na kampuni
2. Kitambulisho cha director mmoja.
3. Kadi original ya gari.
 
Back
Top Bottom