Ushauri: Kijana kachaguliwa Kozi ya Record Management

Mimi nilisoma mtwara, kozi ya record ilikuwa na wanafunzi wengi kutokana na urahisi wake.

Akisoma iyo anaenda kuwa mtunza kumbukumbuku masijala za ofisi mbalimbali pia ni ngumu kupata course chuo kikuu

Nina dogo kachaguliwa mtwara human resource, naomba unisaidie ndugu abc za nini kinahitajika hasa ada au join instruction kama unayo.
 
Hizo namba zao watakusaidia.
20210604_120901.jpg
 
Kwa ushauri wangu aachane na hiyo kozi akasome Advance five na six aje chuo Cha taifa Cha usafirishaji Kuna kozi mpya na zipo marketable . shipping operational na road and a railway in logistic and Transport Operation ndo zimaenza mwaka2020.hkl,hgk,cbg NK wanasoma hiyo kozi Mimi nipo mwaka wa kwanza hapa na Nina Soma road and railway degree apa .na enjoy inshort hizo kozi nyengne hazina mashiko kwasasa.sasa kutunza kumbukumbu.si hata computer inatunza.[emoji23]
Simpaka apate nafasi maana competition ya waombaji ipo
 
mpeleke akasome business mkuu, au hata sheria. Mana watu walosomea arts kwa sasa kidogo katika ajira mambo ni magumu. Kwa matokeo yake akianzia certificate akaja dip mpk degree atkuwa na weledi mpana sana.

kozi ambazo anaweza soma.

1. Transportation and logistics (NIT)

2.Procurement and logistics (TIA, NIT,AIA)

3. Business administration (CBE, TIA,UFM)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huu utaratibu umeanza lini? Na nani analipia ada?
 
Muulize alitaka kusoma nini au anataka kuwa nani au mwenye ujuzi gani akimaliza masomo.

Ushauri wangu, ukiachilia la juu ambalo ni muhim sana pia zingatia tunaishi dunia gani ya sasa na inataka watu wa namna gani kisha mshauri.

Zingatio: elimu yetu haizingatii mahitaji ya dunia wala wakati. Akili kumkichwa
 
Nina dogo kachaguliwa mtwara human resource, naomba unisaidie ndugu abc za nini kinahitajika hasa ada au join instruction kama unayo.
Nilimaliza 2016 mkuu, ila vitu vichache tu vya kujiandaa ni kuwa hakuna hostel karibu ba chuo, kuna umbali mrefu sana, either apande boda ambayo ni buku,

Hostel ni laki mbili kwa semister zinamilikiwa na watu binafsi, zilizopo karibu ni hostel za wanawake zinazomilikiwa na stella marris ambazo ni bei

Kuhusu ada ni kawaida unalipa kwa awamu na iyo course ndio nilisoma wako vizuri hasa Hr na course ya secretary.

Na kwa sasa director wa pale ni mwanamama Agness murahaba yuko vizuri ni kama mlezi na sio mkuu wa chuo tu

Muhimu awe na suti za rangi ya dark blue,na black na mashati rangi nyeupe na cream au blue bahari.

Kuhusu join instruction sina mkuu ila ukihitaji namba za staff wa pale nitakusaidia.
 
Hayo makozi ya shipping nimesa hapo NIT intake ya 4 hakuna cha ajira wala nini Achana nayoo

Ubarikiwe sana mkuu, kuhusu mawasiliano @Queen of Sheba alinipatia hapo juu. Niliwasiliana nao na mambo yanaenda vizuri.
 
Back
Top Bottom