matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kama mtu amepata ujasiri wa kuonyesha maburungutu ya pesa mitandaoni, huku aonyeshi chanzo halali cha pesa hizo serikali isikalie hilo jambo kimya.
Angalau watakwe kufanyiwa tax clearance wapewe doc ya kujipata na pesa mitandaoni. Hiyo itathibitisha ni pesa halali na huyo mtu anafaa kutumikq kama mhamasishaji wa maisha na kujituma katika taifa.
Tukiendelea kuona kama ni kitu cha kawaida, tutajikuta tumetengeneza vijana waliokata tamaa, wanaohamasishwa kilaghai, na watakaochoka mapema kutafuta pesa halali.
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi.