Mwanasulwa lady
Member
- Apr 11, 2022
- 29
- 75
Habarini wanaJF, Natumaini ni wazima wote
Kwenda moja kwa moja kwenye hoja yangu. Mimi ni mhitimu wa chuo mwaka huu mwezi wa saba. Kiukweli napata changamoto kwa wazazi wangu kwa sababu kila fursa nikijaribu kufanya wananiambia hio sio hadhi yangu(fursa za halali).
Lakini cha kushangaza mimi nimeridhika kwa sababu nafanya napata hela ya kujikimu mfano mahitaji madogo madogo ya kike na pia naweka akiba. Kikwazo ni kufanya hizo fursa nashindwa kuelewa mana niliacha ikabidi nikae nyumbani cha ajabu nimekuwa nafokewa kwamba sitafuti kazi na sio kwamba mimi sitafuti kazi kama mnavojua soko la ajira lilivo gumu.
Sasa nipo njia panda naombeni mnisaidie mwongozo wa kukabiliana na jambo hili na imani kabisa mtanisaidia.
Sorry kwa uzi mferu natanguliza shukrani zangu