MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 235
- 336
Habari watanzania wenzangu poleni na majukumu na hali ya kisiasa ambayo haina afya kwa taifa huru kama tanzania.
Nimekuja hapa jukwaani asubuhi hii kwa lengo moja tu la kutaka kushauriwa juu ya mwenendo wa misha yangu ambao unanipa sintofahahamu juu ya atma ya maisha yangu.
Kiualisia mimi ni mtu napenda sana kufanya kazi na nina tabia za upendo dhidi ya binadamu wenzangu lakini kuna mambo ni kama yananichanganya katika maisha yangu,linapokuja suala la kufanya jambo la msingi ambalo litanipa maendeleo nakuwa na tabia za ajabu mpaka najishangaa.
Mfano:[1]Elimu.
MImi nina elimu ya kidato cha nne na tokea nimeajiliwa nimekuwa na matamanio ya kujiendeleza kielimu lakini tokea 2012 nimeshajisajili kidato cha tano mara 3 lakini zote nimeshindwa kabisa kusoma kwa sababu ambazo zinakuja kwa ghafla na zinanikatisha tamaa kwa haraka kuliko kawaida, nimeshajisajili chuo mara tano lakini zote nimeshindwa kusoma, yaani iko ivi nikishajisajili kuna kitu kinakuja kwenye maisha yangu kama uchawi fulani kinaniandama kwa muda hasa hukosefu wa pesa na uvivu husioelezeka ukishika kitabu tu usingizi wa ghafla na mwingi.
Mfano[2]biashara
Nimeshafungua biashara nyingi sana shida inakuja uendelevu wa biashara, matatizo hayaishi mara mfanyakazi ametoroka, nimeibiwa,ukilima mwaka huo mvua hazinyeshi zikinyesha umepata dharula ya kikazi,ufugaji kuibiwa, kufa yaani tabu tupu.
Mfano[3]kamari KUBETI
Hapa sasa unakuta umechagua timu sahihi na maamuzi yako ni sahihi lakini unapatwa na hali ya kusukumwa na ushawishi wa kinafsi kwamba option ulizoweka si sahihi na ni msukumo wa nguvu ajabu, unakuta ilikuwa nakula milioni tatu lakini kwa msukumo hule wa nafsi ya ajabu unaaamua kutoa kiasi kile cha pesa na kusuka mkeka mwingine cha ajabu ule mkeka ulioamua kuuacha unatiki wote na ule ulioutengeneza upya unachanika hii hali ni mara elfu na maelfu imenitokea, na hali iyo ambao bado sijaipatia maajibu likija suala la kwamba nimeweka pesa nyiingi na uchaguzi si sahihi bhasi nitasinzia ghafla na nikiamka nimeshaliwa.
Mfano[4]Maisha binafsi
Sina rafiki wa kudumu
Kiuhalisia kwenye maisha kuna ile hali mtu anakuwa na rafiki wanajadiliana mipango na kupeana michongo, kwangu ni tofauti mimi sina rafiki sijawahi kuona mtu akiwa anaitaji kuwa karibu na mimi na mimi ni mzito kumfuata mtu kwa urafiki na ni mwepesi kumchoka mtu maongezi yake nimekuwa naishi ivi kwa muda sasa natatizwa na hali hii sihipendi kwq kuwa inapunguza kupata mawazo mapya nashindwa nifanyaje sipendi kumfuata mtu kwa kitu ambacho nafsini mwake anaweza hasipende.
Mfano[5] waganga wa kienyeji
Nimekuwa nikiaminishwa kuwa kuna tabia ambazo maofisini kuna watu wanapenda kuchukua nyota za wenzao, sasa katika kuutaka kulishughulikia ilo mara kadhaa nimejaribu kwenda kwa wataalamu wa tiba mbadala ambapo nimekuwa nikikatishwa tamaa kwa kuona au kusikia kitu kutoka kwao ambacho sio matarajio yangu. Yaani iko ivi natamani nikienda kwa mganga anieleze kuwa unatatizo hili limesababishwa na kitu fulani na kafanye 1,2,3 ili. Uwe sawa, pia kuna wakati naona waganga ninapoenda kwao kama hawanichukulii maana au hawaonyeshi kuniona muhimu kwao, wananipuuza kwa hiyo nikiona ivyo nakata tamaa.
Katika maisha yangu ya kazi nina miaka 12 sijaenda kwetu nilikozaliwa ambako wazazi wangu wote wawili wapo nilikwenda miaka miwili baada ya ajila maisha yangu ya wastani tu ila sifurahishwi na hili jambo japo sina ugomvi wala hali yoyote na wazazi niko nao poa tunasalimiana kwa video call na baba alishawahi kufika nyumbani miaka 6 illiyopita.
Mwisho nawashukuru naombeni ushauri sio matusi au dhihaka naitaji msaada kama ni uchawi,mizimu,laana ya wazazi kutorudi nyumbani au ni kawaida tu wapo watu wengi wanaoishi hivi na lengo nipate ufumbuzi niweze kuondokana na hali hii.