Ushauri: Kila wizara na Idara ipewe maelekezo kwenda mbele ya waandishi wa habari kujibu hoja za C.A.G, japo muhusika wa awamu ya tano alishafariki.

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ni vyema Sasa Kila wizara ikakaa mbele ya waandishi ikiwa na executive summary ya majibu ya concerns za C.A.G ili kuondoa vacuum, kama mwendazake alihusika, wizara iseme, kama Kuna ufafanuzi, itolewe, tena kwa kina kabisa.

Tunajua mengi si makosa yao, walikuwa wanapelekeshwa. Na pia watoe ahadi ya weledi kwa taarifa ijayo ya C.A G, na kubainisha hatua watakazochukua ndani ya muda mfupi, ikiwamo kuwafikisha wahusika mahakamani
 
Tunajua mengi si makosa yao, walikuwa wanapelekeshwa. Na pia watoe ahadi ya weledi kwa taarifa ijayo ya C.A G
Matokeo yake itakua kama mwaka fulani kila Mkuu wa Idara/ Taasisi wataanza kumnanga Kichere as a person ..
 
Ubaya wa report hii ipo kila mwaka, na wao kuiba hawawezi kuacha. Sasa si itakua ni Kama wanajimaliza wao wenyewe
Wewe una Akili sana.

Mungu wa mbinguni akubariki sana.

Hii comment imefunga mjadala.
 
Tanesco hesabu zake ni safi kabisa by CAG. Waziri Ummy kasema vizuri hapo bungeni ufanisi wa MSD ulifikia 75% umerudi 35%.
 
Ni vyema Sasa Kila wizara ikakaa mbele ya waandishi ikiwa na executive summary ya majibu ya concerns za C.A.G ili kuondoa vacuum, kama mwendazake alihusika, wizara iseme, kama Kuna ufafanuzi, itolewe, tena kwa kina kabisa.

Tunajua mengi si makosa yao, walikuwa wanapelekeshwa. Na pia watoe ahadi ya weledi kwa taarifa ijayo ya C.A G, na kubainisha hatua watakazochukua ndani ya muda mfupi, ikiwamo kuwafikisha wahusika mahakamani
Mahodari wa kupika taarifa zitapikwa na Nazi,Hadi zile za kuokotwa kwenye majiapanda ,ongeza na viungo vyote vyenye kuongeza ladha,mwisho wasiku taarifa zitakuwa haziliki na zaidi zinaweza wadhuru walaji wenyewe😜
 
Ni vyema Sasa Kila wizara ikakaa mbele ya waandishi ikiwa na executive summary ya majibu ya concerns za C.A.G ili kuondoa vacuum, kama mwendazake alihusika, wizara iseme, kama Kuna ufafanuzi, itolewe, tena kwa kina kabisa.

Tunajua mengi si makosa yao, walikuwa wanapelekeshwa. Na pia watoe ahadi ya weledi kwa taarifa ijayo ya C.A G, na kubainisha hatua watakazochukua ndani ya muda mfupi, ikiwamo kuwafikisha wahusika mahakamani
Siyo kujibu tu ni pamoja na kuwajibika kwa kujixulu na kushitakiwa
 
Sijui ni Nani mwenye majukumu ya kuifuatilia hyo ripoti na kuchukua hatua.
Naona Kama muhusika mkuu hana habari.
Kama hajui kinachoendelea Wala hajali
 
Back
Top Bottom