Matokeo yake itakua kama mwaka fulani kila Mkuu wa Idara/ Taasisi wataanza kumnanga Kichere as a person ..Ni vyema Sasa Kila wizara ikakaa mbele ya waandishi ikiwa na executive summary ya majibu ya concerns za C.A.G ili kuondoa vacuum, kama mwendazake alihusika, wizara iseme, kama Kuna ufafanuzi, itolewe, tena kwa kina kabisa.
Tunajua mengi si makosa yao, walikuwa wanapelekeshwa. Na pia watoe ahadi ya weledi kwa taarifa ijayo ya C.A G
Wewe una Akili sana.Ubaya wa report hii ipo kila mwaka, na wao kuiba hawawezi kuacha. Sasa si itakua ni Kama wanajimaliza wao wenyewe
Mahodari wa kupika taarifa zitapikwa na Nazi,Hadi zile za kuokotwa kwenye majiapanda ,ongeza na viungo vyote vyenye kuongeza ladha,mwisho wasiku taarifa zitakuwa haziliki na zaidi zinaweza wadhuru walaji wenyewe😜Ni vyema Sasa Kila wizara ikakaa mbele ya waandishi ikiwa na executive summary ya majibu ya concerns za C.A.G ili kuondoa vacuum, kama mwendazake alihusika, wizara iseme, kama Kuna ufafanuzi, itolewe, tena kwa kina kabisa.
Tunajua mengi si makosa yao, walikuwa wanapelekeshwa. Na pia watoe ahadi ya weledi kwa taarifa ijayo ya C.A G, na kubainisha hatua watakazochukua ndani ya muda mfupi, ikiwamo kuwafikisha wahusika mahakamani
Siyo kujibu tu ni pamoja na kuwajibika kwa kujixulu na kushitakiwaNi vyema Sasa Kila wizara ikakaa mbele ya waandishi ikiwa na executive summary ya majibu ya concerns za C.A.G ili kuondoa vacuum, kama mwendazake alihusika, wizara iseme, kama Kuna ufafanuzi, itolewe, tena kwa kina kabisa.
Tunajua mengi si makosa yao, walikuwa wanapelekeshwa. Na pia watoe ahadi ya weledi kwa taarifa ijayo ya C.A G, na kubainisha hatua watakazochukua ndani ya muda mfupi, ikiwamo kuwafikisha wahusika mahakamani