kibovu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 702
- 759
Wadau habari zenu, ndugu zangu ni muda wa mwaka sasa nikiwa kikazi mkoani.
Leo nimeingia jijini Dar es salaam hakika jiji linazidi kukua na kupendeza kila siku.
Wadau nisiwachoshe naombeni mnielekeze kiwanja kilicho happen kwa sasa unakula bear huku unacheza na chenye watoto wakali wa kike.
Kabla ya kutoka dar nimekula bata sana lacherz sinza ,5N, Kwetu pazuri,mikasa tabata ,KB, Pale tabata bima na samaki samaki .
Natanguliza shukrani zangu za dhati