Ushauri: Kiwanja cha bata leo

Ushauri: Kiwanja cha bata leo

kibovu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
702
Reaction score
759
Wadau habari zenu, ndugu zangu ni muda wa mwaka sasa nikiwa kikazi mkoani.

Leo nimeingia jijini Dar es salaam hakika jiji linazidi kukua na kupendeza kila siku.

Wadau nisiwachoshe naombeni mnielekeze kiwanja kilicho happen kwa sasa unakula bear huku unacheza na chenye watoto wakali wa kike.

Kabla ya kutoka dar nimekula bata sana lacherz sinza ,5N, Kwetu pazuri,mikasa tabata ,KB, Pale tabata bima na samaki samaki .

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
njoo elements masaki badae mkuu ntakuwepo kuanzia saa nne usiku
 
njoo elements masaki badae mkuu ntakuwepo kuanzia saa nne usiku
asante mkuuu nitumie dm dressing code utakayokuwa umevaaa ntafurahi kuinjoy kilaji na ww
 
Kwa ijumaa ya leo nenda tips mikocheni pale utakuja kunishukuru baadae.
 
Back
Top Bottom