kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,094
- 3,108
Habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya hapa na pale, naombeni ushauri wenu, kwa sasa nipo kwenye ili jiji la chalamila jua na mvua vyote ni vyangu.
Katika tafakuri zangu za maisha nimepata wazo moja ambalo nahisi linaweza kunisaidia kwenye siku za usoni, nataka kuanzisha mji wangu mimi mwenyewe katika mkoa wa MWANZA.
Mimi sio mwenyeji wa mwanza (sijawahi kuishi mwanza), ila mama yangu ni msukuma na baba yangu marehemu ni mkurya. ila maisha yangu yote nimezaliwa na kukulia mkoa wa DAR ES SALAAM.
Maswali yangu:
1. Ni eneo gani (kata, wilaya, kitongoji) ndani ya mkoa wa mwanza kwenye Hali ya hewa nzuri na ya kupendeza ambapo naweza kupata eneo nzuri angalu HEKA 1
2. Naweza kupanda miti gani ikazunguka eneo langu lote, migomba ina support? na miti mingine ya matunda?
3. Ni eneo gani ambalo naweza kuishi bila shida yeyote ile, ukiachana na mambo ya kishirikina ambayo naambiwa yamepamba sana moto ndani ya mkoa wa mwanza na wilaya zake?
Nime_plan mpaka nikifikisha umri wa miaka 45 niweze kurudi kwneye huo mji wangu ambao ntakuwa nimeuandaa vyema. Kwa sasa nina umri wa miaka 32, naendelea kupambania ndoto zangu hapa DSM