ushauri kufanya kilimo

ushauri kufanya kilimo

Joined
May 11, 2013
Posts
14
Reaction score
3
wadau me nimevutiwa sana na ushaur wa humu ndani,jaman me sina mtaji mkubwa lakin nataka nifanye kilimo,nimepewa assignment ya kutafuta wazo la kilimo,ambalo gharama zake ni ndogo ndo hapo nitakuwa assisted financially,nipo arusha nimemaliza chuo ila kaz hazipo!naomba msaada wenu kwa sababu sina uzoefu kabisa na kilimo..
 
Kilimo ni kipana sana mkuu, unataka kulima mazao, au unataka kufuga au unataka kusindika mazao au unataka kuwa middle men? Chagua eneo gani unataka ili watu washushe shule.
 
kaka kulima mazao ndo ningependa zaidi,
 
Umeuliza kimtego swali lako, kwa mfano ungesema umeahidiwa laki tano kuanzishia kilimo au umeahidiwa heka moja hata ushauri unapata vzr, km mi siri yako basi Ata ushauri nafikiri utakuwa siri yetu au yangu
 
Kilimo ni kipana sana mkuu, unataka kulima mazao, au unataka kufuga au unataka kusindika mazao au unataka kuwa middle men? Chagua eneo gani unataka ili watu washushe shule.

mkuu hapo katika kusindika!nimekua nikifuatilia post nyingi zenye mada za ufugaji na kilimo na nawewe ni mchangiaji sana!,lakini kusindika sijabahatika kuona,kama una ujuzi wowote na hiyo kitu mwaga maujuzi hata kama kwa kuanzisha post nyingine then maswali yataanzia hapo!
 
Umeuliza kimtego swali lako, kwa mfano ungesema umeahidiwa laki tano kuanzishia kilimo au umeahidiwa heka moja hata ushauri unapata vzr, km mi siri yako basi Ata ushauri nafikiri utakuwa siri yetu au yangu

kaka cfany siri,nyway najua ntapewa kat ya laki 3 mpaka 5..cna shamba wala nini!bt nimeambiwa ikionesha matumain napewa more,ndo maana naomba msaada kwa wataalamu ili niweze kupata maximum profit so as niongezewe mtaji
 
huyo anayetaka kukusaidia ana akili sana na ana malengo mazuyi na wewe. ningekushauri uanze na kilimo cha mazao ya mbogamboga ambayo soko lake ni rahisi ukifuata masharti.
 
mkuu hapo katika kusindika!nimekua nikifuatilia post nyingi zenye mada za ufugaji na kilimo na nawewe ni mchangiaji sana!,lakini kusindika sijabahatika kuona,kama una ujuzi wowote na hiyo kitu mwaga maujuzi hata kama kwa kuanzisha post nyingine then maswali yataanzia hapo!

Kusindika mazao kuna njia nyingi sana kulingana na aina ya zao,kwa hiyo teknolojia nayo ni tofauti. Unapokoboa mahindi na kusaga kupata unga na pumba, tayari umeongeza thamani ya mahindi yako, sijui hapa kama kuna utalaamu sana. Au kukamua alizeti au karanga au kukamua miwa ( wapemba mitaani kwetu na juisi ya miwa) au asali, mbona mashine za kazi hizo zipo nyingi sana mpaka za bei za kutupa kabisa. Mashine ya kusindika asali nimepata kwa jamaa, huenda 2014 nitaanza kusindika mwenyewe asali mbichi.

Wakati fulani nilikwenda Singida, SIDO BLOCK, nikaona vile viwanda pale vya kusindika alizeti, ujenzi na mitambo upo mikononi mwangu. Nilirudi kwetu nikakuta Wakinga wamezifunga mashine kama 12 ktk mji wetu lakini raw materials ni kidogo, kule vijijini umeme haujafika. Nimeamua nijenge ghara kwanza na moto wa REA ukifika nifunge mitambo yangu.

Kazi ipo kusindika matunda, hii kazi ya kusindika nyanya na matunda mengine nimeifanya sana, tatizo ni lile lile la umeme vijijini. Kusindika maziwa kuna tatizo la raw materials.
 
huyo anayetaka kukusaidia ana akili sana na ana malengo mazuyi na wewe. ningekushauri uanze na kilimo cha mazao ya mbogamboga ambayo soko lake ni rahisi ukifuata masharti.

Ni sahihi kuanza na bustani ambazo soko lake lipo moja kwa moja kila siku mitaani kwetu, hapa inabidi uangalie na aina ya mboga unayotaka kuanza nayo sawa na walaji wako. Mboga za kizungu Uswahilini hazilipi mkuu, Uswahilini zama na tembele, figili,mnafu,bamia,mbilimbi. Usiende na bilinganya !!!!!!!!!!
 
jaman kuna mtu hapa amenishauri kufanya kilimo cha maua,nipo arusha..mtaalamu vp hapo?

Kilimo hicho kinalipa sana, unaweza kupata shamba la kufanyia shughuli hiyo? Au wataka kukodisha? Pia waweza kuwa na bustani ya maua ndogo karibu na mjini na ukaanzia hapo kusogea mawinguni.
 
so bro kwa mtaji huo hyo businec inalipa?nabidi nikodishe shamba la hme lipo bt naona kama dogo!
 
Kusindika mazao kuna njia nyingi sana kulingana na aina ya zao,kwa hiyo teknolojia nayo ni tofauti. Unapokoboa mahindi na kusaga kupata unga na pumba, tayari umeongeza thamani ya mahindi yako, sijui hapa kama kuna utalaamu sana. Au kukamua alizeti au karanga au kukamua miwa ( wapemba mitaani kwetu na juisi ya miwa) au asali, mbona mashine za kazi hizo zipo nyingi sana mpaka za bei za kutupa kabisa. Mashine ya kusindika asali nimepata kwa jamaa, huenda 2014 nitaanza kusindika mwenyewe asali mbichi.

Wakati fulani nilikwenda Singida, SIDO BLOCK, nikaona vile viwanda pale vya kusindika alizeti, ujenzi na mitambo upo mikononi mwangu. Nilirudi kwetu nikakuta Wakinga wamezifunga mashine kama 12 ktk mji wetu lakini raw materials ni kidogo, kule vijijini umeme haujafika. Nimeamua nijenge ghara kwanza na moto wa REA ukifika nifunge mitambo yangu.

Kazi ipo kusindika matunda, hii kazi ya kusindika nyanya na matunda mengine nimeifanya sana, tatizo ni lile lile la umeme vijijini. Kusindika maziwa kuna tatizo la raw materials.

Daah, we Malila ni noma!! we ni mjasiriamali wa ukweli, huwezi jua haya yote kam siyo mjasiriamali, we na kina kubota, Chasha ni balaa
 
so bro kwa mtaji huo hyo businec inalipa?nabidi nikodishe shamba la hme lipo bt naona kama dogo!

Hakuna kilicho kidogo ktk ujasiriamali, ulicho nacho ndio mtaji wenyewe kaka. Ukishajua abc za kazi hiyo kupitia hapo padogo ndio unapanuka vizuri ukiwa na tahadhali zote. Anza, kaka, huwezi jua hata jirani yako kama ana mawazo kama hayo.
 
jaman kuna mtu hapa amenishauri kufanya kilimo cha maua,nipo arusha..mtaalamu vp hapo?

Kwa kililimo Cha Maua ni Vigumu sana kwa sabau kuu kama Mbili tatu hivi
1. Kinahitaji mtaji mkubwa kiasi kwamba ni wazungu ndo wanafanya hiyo kilimo na wahindi Kidogo

2. Kuna Monopson, ni kwamba utawauzia wazungu ambao hawazidi wawili na wao ndo Price meaker make huna sehemu nyingine ya kupeleka

3. Soko lake lipo Ulaya na kuna kama aina mbili hapa za mauo, kuna kile kiulimo cha kulima maua na kuvuna mbegu means kinacho hitajika hapa ni mbegu za kwenda either kupandwa kwenye mabustani huko Ulaya

- Kuna maua ya Kupamba, haya ndo yana pesa sana ila ndo yanahitaji mtaji mkubwa kabisa, na ukisikia wale Wazungu wa Kule Arusha wanafikia hata Kuzuia mvua ni kwa sababau ya aina hii ya maua, na haya huuzwa huko Uholanzi na unayo yaona yanauzwa mtaani kwa ajili ya Kupamba kwenye sherehe na kwenye Msiba ni yale ambayo yamechanulia huku, kikawaida haya mauo huvunwa yakiwa hayajachanua na huenda kuchakunulia huko Ulaya
 
Ila kwa Arusha Kwa sasa kilimo ni Ghari sana kwa sbabau ya Mashamba, na biashara nzuri ya Kilimo ya Kufanya Arusha ni ya kufanya Usindikaji wa Mazao yanayo patikana Arusha na Kilimanjaro, Mfano Ndizi na matunda au mboga kama Karoti na kazalika,

Zao kama Ndizi linaweza kaushwa na kupakiwa na kwenda hata kuuzwa huko kusiko kuwa na Ndizi na Moashi kuna Kikundi Fulani cha wakina mama na wababa wanafanya huu usindikaji wa Mboga kwa kutumia Sora na wanasindika, NDIZI, MAEMBE, KARATO NA LOZERA, na kitu kama Ndizi wanauza sana nawanasoko kubwa sana na walisha hadi pewa TBS,

So kwa mazingira ya sasa ni Bora wajasirimali wakajikita kwenye ku ad value kwa sababu wakulima kweli wanalimalakini hakuna hata mmoja anaye kumbuka kuongeza thamani na matokeo yake ni kuuza mazoa yakiwa shambani,
 
so bro kwa mtaji huo hyo businec inalipa?nabidi nikodishe shamba la hme lipo bt naona kama dogo!

Tatizo kubwa sana la wafanya biashara wengi ni Kuanza na neno kama Inalipa, Mkuu biashara kulipa ni matokeo na si Vinginevyo, na wabongo huwa tunalazimisha na matokeo yake ni watu kwenda kwa waganga na kuanza kukata Mikono ya Maalibino kwa kisingizio cha kutafuta utajiri

Unatakiwa kusonga mbele na kichwani mwako waza kwamba unaenda kutatua tatizo fulani unalo liona katika jamii, songa bilakujalisha mbeleni itakuwa vipi,

Na Utajiri au kupata pesa huja mwishono baada ya Jamii kutambua mchango wa Project yako, huwezi leo kuanza biashara na kuanza kuforce ikulipe,

Mtajiri wengi sana ukiwauliza leo hii kama walitegemea kuwa hapo walipo jibu huwa ni Hapana, Ila wamekuwa hapo walipo sasa kwa sababu ya jitihada kubwa kabisa na jamii kutambua waacho fanya

Ila kwa Arusha Kwa sasa kilimo ni Ghari sana kwa sbabau ya Mashamba, na biashara nzuri ya Kilimo ya Kufanya Arusha ni ya kufanya Usindikaji wa Mazao yanayo patikana Arusha na Kilimanjaro, Mfano Ndizi na matunda au mboga kama Karoti na kazalika,

Zao kama Ndizi linaweza kaushwa na kupakiwa na kwenda hata kuuzwa huko kusiko kuwa na Ndizi na Moashi kuna Kikundi Fulani cha wakina mama na wababa wanafanya huu usindikaji wa Mboga kwa kutumia Sora na wanasindika, NDIZI, MAEMBE, KARATO NA LOZERA, na kitu kama Ndizi wanauza sana nawanasoko kubwa sana na walisha hadi pewa TBS,

So kwa mazingira ya sasa ni Bora wajasirimali wakajikita kwenye ku ad value kwa sababu wakulima kweli wanalimalakini hakuna hata mmoja anaye kumbuka kuongeza thamani na matokeo yake ni kuuza mazoa yakiwa shambani,

mmh,mbona kama kusindika inahitaji mtaji mkubwa chasha,au me ndo naona hvyo?kasema mtaji wake ni laki 3,au?
 
wadau me nimevutiwa sana na ushaur wa humu ndani,jaman me sina mtaji mkubwa lakin nataka nifanye kilimo,nimepewa assignment ya kutafuta wazo la kilimo,ambalo gharama zake ni ndogo ndo hapo nitakuwa assisted financially,nipo arusha nimemaliza chuo ila kaz hazipo!naomba msaada wenu kwa sababu sina uzoefu kabisa na kilimo..
kawaze tena... aini wazo lako.. rudi uombe ushauri...
 
Back
Top Bottom