Moyibi JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,054 Reaction score 701 Jul 20, 2012 #1 Jamani nina kiasi hiki cha pesa $47000 kwanza kabisa ningependa kujua ni sawa na shilingi ngapi? Za kitanzania pili ningependa kuomba ushauri nifanye biashara gani? Kwa kiasi hiki cha pesa..!! Mawazo Yenu wakubwa wa JF
Jamani nina kiasi hiki cha pesa $47000 kwanza kabisa ningependa kujua ni sawa na shilingi ngapi? Za kitanzania pili ningependa kuomba ushauri nifanye biashara gani? Kwa kiasi hiki cha pesa..!! Mawazo Yenu wakubwa wa JF
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Jul 20, 2012 #2 Dola $47000izo ni ni zaidi ya tsh.70,000,000/= wekeza hisa kwenye makampuni, fungua biashara ya duka la vyakula !
Dola $47000izo ni ni zaidi ya tsh.70,000,000/= wekeza hisa kwenye makampuni, fungua biashara ya duka la vyakula !
Moyibi JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,054 Reaction score 701 Jul 20, 2012 Thread starter #3 mpigamsuli said: Dola $47000izo ni ni zaidi ya tsh.70,000,000/= wekeza hisa kwenye makampuni, fungua biashara ya duka la vyakula ! Click to expand... kudadeki am rich thanx 4 your advce
mpigamsuli said: Dola $47000izo ni ni zaidi ya tsh.70,000,000/= wekeza hisa kwenye makampuni, fungua biashara ya duka la vyakula ! Click to expand... kudadeki am rich thanx 4 your advce