Ushauri kuhusu $ 47000 za kimarekani !! ?

Ushauri kuhusu $ 47000 za kimarekani !! ?

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
701
Jamani nina kiasi hiki cha pesa $47000 kwanza kabisa ningependa kujua ni sawa na shilingi ngapi? Za kitanzania pili ningependa kuomba ushauri nifanye biashara gani? Kwa kiasi hiki cha pesa..!!
Mawazo Yenu wakubwa wa JF
 
Dola $47000izo ni ni zaidi ya tsh.70,000,000/= wekeza hisa kwenye makampuni, fungua biashara ya duka la vyakula !
 
Back
Top Bottom