Jamani nina kiasi hiki cha pesa $47000 kwanza kabisa ningependa kujua ni sawa na shilingi ngapi? Za kitanzania pili ningependa kuomba ushauri nifanye biashara gani? Kwa kiasi hiki cha pesa..!!
Mawazo Yenu wakubwa wa JF
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.