Ushauri kuhusu Aftermarket Accessories (Dashboard & Android TV) kwa BMW 3 series za miaka ya nyuma.

Ushauri kuhusu Aftermarket Accessories (Dashboard & Android TV) kwa BMW 3 series za miaka ya nyuma.

itscowboy98

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2025
Posts
883
Reaction score
1,427
Habari za mda Wana jukwaa, Naomba tupeane madini /maoni, hasa kwa wajuzi na Wamiliki wa BMW 3 series sedan (hasa za kuanzia 2011 kurudi nyuma). Kumekuwa na trend ya kufunga aftermarket Accessories kama vile dashboard mpya (digital /android dashboard) na android TV /infotainment system ili kufanya hizi BMW za miaka ya nyuma zionekane za kisasa zaidi. Swali langu ni : Je hizi dashboard na TV za aftermarket Zina madhara yoyote kwa mfumo wa ufanyaji kazi wa gari? Pili, Zinaweza kuathiri ECU, electrical system, sensors au CANBUS ya BMW? Tatu, Kuna mtu yeyote hapa jukwaani aliyewahi kufunga au kutumia kwa muda mrefu!! 🤔 Uzoefu wake ukoje? Na mwisho ni mambo gani ya kuzingatia kabla ya kufunga ili kuepuka matatizo ya baadae? Note:sijawahi kumiliki gari, lakini ndoto yangu siku moja nimiliki Mercedes benz C class sedan au BMW 3 series sedan,. Poleni kwa uandishi kwani ndio uzi wangu wa kwanza hapa jukwaani Ahsanteni na karibuni.
 
Back
Top Bottom