Ushauri:kuhusu Altteza gita.

Mdau,

Hiyo ni gari ambayo inakua moded na sio stock, hivyo
Gharama za uendeshajin, na utunzani zinakua juu maana ni sport car tayari.(kwa engine hiyo unayohitaji)
Aidha, wengi huwa wanazileta engine ya kawaida kisha wanafanya 'swap' haswa kwenye mark II wanabandika humo
Kupinguza gharama kidogo.


Roughly, hufikia hadi 17m incase utaipata from japan ikiwa na hiyo engine na turbo kits
 
Sawa boss tunamshauri na hii ni faida ya wadau .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuipata twin turbo kwa kuagiza Japan sio rahisi, as hizo gari hakuna model inayouzwa na turbocharger. Mpaka iwe modified kitaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…