EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah nadhani umeshaelewa jinsi jamaa atakavyokipata cha moto kwny consumption mkuu.
Hahah nadhani umeshaelewa jinsi jamaa atakavyokipata cha moto kwny consumption mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah kwanza kuchagua tu hio gari lazima huyo jamaa ni mjanja/mtoto wa mjini/mpenda magari na amejipanga maana hio machine sio ya kitoto eti.
Saivi meanza kuwaza kujitafutia jini langu ATHLETE nataka kuachana na 1g feHahah kwanza kuchagua tu hio gari lazima huyo jamaa ni mjanja/mtoto wa mjini/mpenda magari na amejipanga maana hio machine sio ya kitoto eti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vumbini ikiafanye nini tena kaka?
Vumbini ikiafanye nini tena kaka?
Utakua unaitesa tuu
Ile huwa zaidi ni kwenye barabara nzuri, ndio utafaidi, ikiwa na hizo turbo
Sawa boss tunamshauri na hii ni faida ya wadau .Mdau,
Hiyo ni gari ambayo inakua moded na sio stock, hivyo
Gharama za uendeshajin, na utunzani zinakua juu maana ni sport car tayari.(kwa engine hiyo unayohitaji)
Aidha, wengi huwa wanazileta engine ya kawaida kisha wanafanya 'swap' haswa kwenye mark II wanabandika humo
Kupinguza gharama kidogo.
Roughly, hufikia hadi 17m incase utaipata from japan ikiwa na hiyo engine na turbo kits
Karibu mkuu,kuna jamaa humu jf wanaitwa Extrovert Rugambwa yt Jimmy gabby wanaweza wakaielezea vzr hio machine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Saivi meanza kuwaza kujitafutia jini langu ATHLETE nataka kuachana na 1g fe
Sent using Jamii Forums mobile app
4-7 kwa mjini
Kuipata twin turbo kwa kuagiza Japan sio rahisi, as hizo gari hakuna model inayouzwa na turbocharger. Mpaka iwe modified kitaa.Alteza gita ,engine 2jz-gte.twin turbo vvti.Anavutiwa nayo,lkn kabla ya kufanya uamuzi kumiliki ushauri wa wadau ni muhimu kwake.
Ulaji mafuta upoje.
Upatikanaji wa spea.
Matatizo ya ujumla ya aina hiyo.
NATANGULIZA SHUKRANI.Ili ajue ubora na changamoto za chaguo hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuipata twin turbo kwa kuagiza Japan sio rahisi, as hizo gari hakuna model inayouzwa na turbocharger. Mpaka iwe modified kitaa.