Ushauri:kuhusu Altteza gita.

Ushauri:kuhusu Altteza gita.

Mdau,

Hiyo ni gari ambayo inakua moded na sio stock, hivyo
Gharama za uendeshajin, na utunzani zinakua juu maana ni sport car tayari.(kwa engine hiyo unayohitaji)
Aidha, wengi huwa wanazileta engine ya kawaida kisha wanafanya 'swap' haswa kwenye mark II wanabandika humo
Kupinguza gharama kidogo.

Roughly, hufikia hadi 17m incase utaipata from japan ikiwa na hiyo engine na turbo kits
 
Mimi naipenda hii Subaru Forester 2008
IMG_20190410_100524_723.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdau,

Hiyo ni gari ambayo inakua moded na sio stock, hivyo
Gharama za uendeshajin, na utunzani zinakua juu maana ni sport car tayari.(kwa engine hiyo unayohitaji)
Aidha, wengi huwa wanazileta engine ya kawaida kisha wanafanya 'swap' haswa kwenye mark II wanabandika humo
Kupinguza gharama kidogo.

Roughly, hufikia hadi 17m incase utaipata from japan ikiwa na hiyo engine na turbo kits
Sawa boss tunamshauri na hii ni faida ya wadau .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alteza gita ,engine 2jz-gte.twin turbo vvti.Anavutiwa nayo,lkn kabla ya kufanya uamuzi kumiliki ushauri wa wadau ni muhimu kwake.
Ulaji mafuta upoje.
Upatikanaji wa spea.
Matatizo ya ujumla ya aina hiyo.
NATANGULIZA SHUKRANI.Ili ajue ubora na changamoto za chaguo hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuipata twin turbo kwa kuagiza Japan sio rahisi, as hizo gari hakuna model inayouzwa na turbocharger. Mpaka iwe modified kitaa.
 
Back
Top Bottom