Vanree
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 222
- 177
AhsanteeHao jamaa wanafanya biashara ya used vizuri ba wanaoffice yao.....ila wapo na wengine ni vyema ukaulizaView attachment 2082635
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhsanteeHao jamaa wanafanya biashara ya used vizuri ba wanaoffice yao.....ila wapo na wengine ni vyema ukaulizaView attachment 2082635
Huu mkataba uliu- download mkuu wala sio wako..
Kichaa kwelikweliBiashara pasua kichwa hiyo ni sawa na kujaza maji kwenye tenga.
Ipo hivi pikipiki aina ya boxer inauzwa mil 2.8, hesabu ya siku unaletewa elfu 10 na mkataba kwa kawaida ni miezi 13..ukiwa unaletewa kila siku elfu 10 kwa mwezi utakuwa umeingiza laki 3,laki 3*13=3900000
3900000-2800000=1100000
Faida kwa mwaka mzima unapata mil 1.1
1100000÷13=84615...
Unatoa mil 2.8 mfukoni halafu kwa mwezi faida unaingiza elfu 84615 kama sio utahaira ni nini? Na mwisho wa siku pikipiki inakuwa sio yako tena
NB: Hapo bado haujapewa taarifa ya kuibiwa pikipiki, service ikiwa kubwa ni juu ya boss