Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekurupuka mkuu...kama huna cha kushauri we kausha tuHawa ndo walimu uchwara wanaofelisha watoto wetu ulifuata nini huko kama ulikuwa hukupendi.
Umekurupuka mkuu...kama huna cha kushauri we kausha tu
We ndo umekurupuka.
Hawa ndo walimu uchwara wanaofelisha watoto wetu ulifuata nini huko kama ulikuwa hukupendi.
Changa changa mkuu ukasomee urubani, chuo kipo Dar siku hizi, PPL (Private Pilot Licence) inacheza kwenye 25m hivi. Ni watu wengi sana huwa wana ndoto ya urubani mkuu sema sera za nchi yetu sio rafiki sana
A level tu ulishindwa kuzama eti uwe rubani labda wa ungo,endelea tu kushika chaki mkuuKi ukweli mwenzenu ndoto yangu ilikuwa kusomea urubani lakin kutokana na kutofanikiwa kwenda A level,nikaenda UALIMU! Ila c fan yangu.NIFANYAJE?
Na wewe nawe ni great thinker,sa nani aliyekwambia ukiweka hizo Q zako utabadilika jinsia na kuwa wa KIUMETz life hap hainaga formula ndugu so na uwezi qwenda quazima mboga jirani mpaka umalize ya qwaqo qwanzaaaaaa so make sure tu pga mzgo wa yqweli mambo ynywe yatajipa coz ualim ndo sector walau kdgooo ina opptnty za wtu qwenda qusoma qwa wingi na kupnda cheo soon tu unapoenda qusomaaa so taqew easy coz TEACHING Z A PROFFESSIONAL JOB